Mkuu wa chuo cha Hombolo Dodoma awekwa kitimoto!

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Anaitwa Dr. Robert Kisusu, anavutana na wahadhiri wa chuo hicho. Wahadhiri wametoa kilio chao mbele ya kapteni George Mkuchika alipokuwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa majengo ya chuo hicho.
Source: TBC1
 
Wakuu wa vyuo nao hapa tanzania ni magamba ya kichwani yanatakiwa yatolewe magamba. Angalia Ustawi wa jamii, IFM,UDSM, Tumaini ndio usiseme. Kila sekta nchii inahitaji kujivua gamba.
 
Sie wengine tunaiona TBC Ngeleja akipenda, tupe dondoo za yaliyojiri ili tupate pa kuanzie debate.............
Anaitwa Dr. Robert Kisusu, anatuvutana na wahadhiri wa chuo hicho. Wahadhiri wametoa kilio chao mbele ya kapteni George Mkuchika alipokuwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa majengo ya chuo hicho.

kutuvutana ndo nini boss wangu??? au msamiati mpya?
 
Back
Top Bottom