Mkuu w a kaya kwenda sudan

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,436
21,262
Jamani hiv huyu makamu yeye ndio wa arusha moshi manzese kariakoo ??mbona mzee wa kaya amwaachii akaoshe jamani na yeye atoe nuksi afe ameenjoy nchi duh..haya nasikia mkulu anaelekea sudan si mchezo majuzi tu katoka south

i love per diem nakupenda sana nakulavuuuuuuuuu muno muno kila la kheri mkulu unakula kwa urefu wa kamba yako
 
Jamani hiv huyu makamu yeye ndio wa arusha moshi manzese kariakoo ??mbona mzee wa kaya amwaachii akaoshe jamani na yeye atoe nuksi afe ameenjoy nchi duh..haya nasikia mkulu anaelekea sudan si mchezo majuzi tu katoka south

i love per diem nakupenda sana nakulavuuuuuuuuu muno muno kila la kheri mkulu unakula kwa urefu wa kamba yako[/QUOTE

pole bilaalii, wakati wa kampeni wamekutumia sana, nje alikuwa anaenda mtoto wa mkulima,
sasa uchaguzi umepita, baba rizmoja kawa mbinafsi sana,kila siku yeye na pipa, wewe
ukipanda pipa ni pale unapoenda pemba, duuu...... halafu ckusikiii kabisa,ba mdogo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom