Mkuu ulikosea sana, hiyo SGR ingepitia Dar to Moshi mpaka Kigoma

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,579
2,000
Reli mwanza inaenda kufanya nn. Yani kutengeneza SGR kwa ajili ya Abiria ni kuwa na akili pungufu. Sgr ni kwa ajili ya mizigo. Sasa huko mwanza kuna mizigo gani?? Tungetarget mizigo ya congo, Malawi na Zambia.
Huko kuna TAZARA mkuu. Kigoma imekaa kimkakati zaidi, ingawaje serikali imeamua kuanza kipande cha Dar to Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JembeKillo

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
5,079
2,000
Unajua kwanini Tazara haifanyi kazi kwa ufanisi? Kwa hiyo SGr si imepita pembeni ya reli ya kati
Imepita pembeni ya central railway yes na kwa kuwa reli ya kati inafanya vizuri kwenye abiria wakaona bora wajenge SGR ili kuongeza huduma. Pia inajengwa kimkakati ili iunganishe Rwanda na Burundi. Huko TAZARA tayari reli imeenda hadi Zambia so hakuna haja ya kujenga reli nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Aug 10, 2019
2,078
2,000
Mkuu alikosea sana hiyo SGR ingepitia Dar to Moshi hapo iguse na Tanga ipite Arusha ikaguse Manyara, Singida ikatoboe mpaka mwanza then Kigoma.

Hii reli ingelipa balaa hebu tuchukulie mfano wa December na tunavyojua treni ya umeme ni masaa kadhaa tu mtu ushafika hakika kwa mfano Dar to Moshi to Arusha msimu huu wa November na December wangetengeneza bilions of money bado hujaweka mizigo ya Mwanza, Kigali, Burundi, na Kongo hakika tungekuwa mbali sana na ingeleta manufaa mazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo mdogo anakuja huko mambo mazuri hayahitaji haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Great Haya

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,349
2,000
Sikumaanisha kwa ajili ya dec no0 ndo maana nikaweka kigoma,burundi rwanda na kongo kwamba itaenda mpaka huko mipakani izifikie hizo nchi ila ipitie kanda ya Arusha moshi maana wasafiri huwa wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivo unaposema kanda ya kaskazini kuna wasafiri wengi ni siku za sikukuu tu, lakini tuangalie taabu wanayoipata watu wa kanda ya ziwa kusafiri kwenda Dar kwa masaa mengi, vile vile bidhaa kanda ya ziwa ni ghali kwa sababu ya umbali kwa hyo ukipitisha huko unapotaka wewe utazidi kuwapa shida
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
12,362
2,000
Ndo hivo unaposema kanda ya kaskazini kuna wasafiri wengi ni siku za sikukuu tu, lakini tuangalie taabu wanayoipata watu wa kanda ya ziwa kusafiri kwenda Dar kwa masaa mengi, vile vile bidhaa kanda ya ziwa ni ghali kwa sababu ya umbali kwa hyo ukipitisha huko unapotaka wewe utazidi kuwapa shida
Wastani wa siku kanda ya kaskazini basi 30-50 huondoka na kuelekea huko,tuachane na kipindi hiki kifupi cha mwisho wa mwaka by nature watu wa kanda hii ni watu wa pulikapulika.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,546
2,000
Mkuu alikosea sana hiyo SGR ingepitia Dar to Moshi hapo iguse na Tanga ipite Arusha ikaguse Manyara, Singida ikatoboe mpaka mwanza then Kigoma.

Hii reli ingelipa balaa hebu tuchukulie mfano wa December na tunavyojua treni ya umeme ni masaa kadhaa tu mtu ushafika hakika kwa mfano Dar to Moshi to Arusha msimu huu wa November na December wangetengeneza bilions of money bado hujaweka mizigo ya Mwanza, Kigali, Burundi, na Kongo hakika tungekuwa mbali sana na ingeleta manufaa mazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hakuna kitu mkuu unachemka
Yaani treni uweke kwa ajili ya safari za December na January pekee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom