kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,987
- 17,858
Mkuu alikosea sana hiyo SGR ingepitia Dar to Moshi hapo iguse na Tanga ipite Arusha ikaguse Manyara, Singida ikatoboe mpaka mwanza then Kigoma.
Hii reli ingelipa balaa hebu tuchukulie mfano wa December na tunavyojua treni ya umeme ni masaa kadhaa tu mtu ushafika hakika kwa mfano Dar to Moshi to Arusha msimu huu wa November na December wangetengeneza bilions of money bado hujaweka mizigo ya Mwanza, Kigali, Burundi, na Kongo hakika tungekuwa mbali sana na ingeleta manufaa mazuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app