Mkuu Rrondo kwa hili la matamshi naomba niwe upande wa watangazaji

Wazee baba hivi mmasai aliyetoka ndani ndani akaja mjini.

Haya, akaanza kuzungumza kiswahili.

Neno "kuzungumza" akasema kusurungumsa.

Neno " Dar es salaam.

Akasema Damasaralama.

Huyu naye tutamtetea kwa "lahaja". Mind you "lahaja" ni "accent".

Hatuna lahaja kwenye mzungumzaji wa lugha B anayeingiza mfumo wa lugha B azungumzapo lugha C.

Hiyo itakuwa sio lahaja bali hajui kuyatamka maneno ya lugha C.
 
Kwa muktadha wa kimasai pengine yu sahihi ila kwa kiswahili si unaona utofauti kabisa
 
Lahaja ni namna ya utamkaji wa maneno na lafudhi ni namna uongewaji wa hayo maneno unawasilishwa

Sasa kaka hapa mbona sijaona tofauti kati ya lahaja na lafudhi ? Maana kuzungumza si nsio kutamka au kuna tofauti ? Naomba unipe muongozo hapa.
 
Chukulia namna unavyotamka wewe ugali na msukuma anavyotamka uGali hiyo ndiyo lahaja

tofautisha uongeaji wa kawaida kati ya mtu anayekaa zanzibar na Dar hiyo ni lafudhi
 
Hizi zote ni lafudhi.

Hivi mimi nikisema "Kichwa" na wewe ukasema "Kitwa" hii inaingia katila nini ?
 
Muhammad wazungu wanamuita Mohamed... Wabongo wanamuita Mwamedi.
All in all huo ni ulemavu wa kimatamshi unaolazimishwa uwe ukweli.

Kama kitu unakipenda jifunze kukitamka vile inavyotatikana.

Yaani Marcus Rashford aitwe Marikusi Rashifodi daaah..... Hebu tuache huu ulemavu!
 
Na wafaransa huita Muhammad = Mammadou, je nao ni walemavu?

Angalia waingireza huita Poland ila wenye nchi yao huita Polska, je na huo nao ni ulemavu kwa waingereza?
 
Kusema "Mammadou kuwa ni Muhammad" si sawa na ni uvivu wa kujifunza na kuuzoesha ulimi katamka,kwani kuna wafaransa wengine wanaitwa majina hayo kama yalivyo kwa kuzingatia utamkaji wa wenye majina hayo.

Kurudi kwenye asili ndio usahihi wenyewe.
 
Tatizo lililo mili kwenye uzembe na uvivu na hasa umimi yaani ubinafsi.
Basi ndio maana nasema suala ni la kiulimwengu na hili hutoka na asili ya sehemu husika nami nachojaribu kuelezea kukubali namna yetu

Maana ukitaka kuwaponda na kuwarekebisha wabongo kuwa hawatamki vyema maneni ya kigeni inabidi pia uwaponde na watu wa mataifa mengine pia kwa kushindwa kuyamihili maneno ya mataifa mengine

Kwahiyo tusijifanye wajuaji sana hili suala ni kawaida sana kwa jamii yoyote ile
 
Hakuna aliyekataa kama si la walimwengu wote na kwamba si jambo la kawaida,tunachopinga ni watu kutokukubali kurudi kwenye asili ya watu wenye lugha yao kuwa kama mzani wa kujua usahihi wa matamshi,kinyume na hapo ni uharibifu kama tunavyouona hii leo.

Unajua sisi tuna mifano ya watu ambao wanayatamka vyema majina ya watu wengine kama vile wayatamkavyo wenyewe.
 
Ilikuwa lazima uanzishe uzi? Huu ufafanuzi wako si ungeweka kwenye huo uzi?
 
Back
Top Bottom