Kabisa mkuu tena wanakosea sana inabidi watamke TeBeChe moja maana alfabeti za kiswahili zina namna ya utamkaji wake
Kwa muktadha wa kimasai pengine yu sahihi ila kwa kiswahili si unaona utofauti kabisaWazee baba hivi mmasai aliyetoka ndani ndani akaja mjini.
Haya, akaanza kuzungumza kiswahili.
Neno "kuzungumza" akasema kusurungumsa.
Neno " Dar es salaam.
Akasema Damasaralama.
Huyu naye tutamtetea kwa "lahaja". Mind you "lahaja" ni "accent".
Hatuna lahaja kwenye mzungumzaji wa lugha B anayeingiza mfumo wa lugha B azungumzapo lugha C.
Hiyo itakuwa sio lahaja bali hajui kuyatamka maneno ya lugha C.
Hiyo ni sawa kama sisi waswahili tuitavyo England- Uingereza, Portugal-Ureno , Greece- Uyunani nkKweli kabisa mkuu unajua ujeruma inaitwa Allemagne na kutamkwa alimanyee kwa kifaransa
Asante! Leo ndio nimetambua jina lingine la Greece kuwa ni Uyanani.Hiyo ni sawa kama sisi waswahili tuitavyo England- Uingereza, Portugal-Ureno , Greece- Uyunani nk
Lahaja ni namna ya utamkaji wa maneno na lafudhi ni namna uongewaji wa hayo maneno unawasilishwa
Chukulia namna unavyotamka wewe ugali na msukuma anavyotamka uGali hiyo ndiyo lahajaSasa kaka hapa mbona sijaona tofauti kati ya lahaja na lafudhi ? Maana kuzungumza si nsio kutamka au kuna tofauti ? Naomba unipe muongozo hapa.
Chukulia namna unavyotamka wewe ugali na msukuma anavyotamka uGali hiyo ndiyo lahaja
tofautisha uongeaji wa kawaida kati ya mtu anayekaa zanzibar na Dar hiyo ni lafudhi
Na wafaransa huita Muhammad = Mammadou, je nao ni walemavu?Muhammad wazungu wanamuita Mohamed... Wabongo wanamuita Mwamedi.
All in all huo ni ulemavu wa kimatamshi unaolazimishwa uwe ukweli.
Kama kitu unakipenda jifunze kukitamka vile inavyotatikana.
Yaani Marcus Rashford aitwe Marikusi Rashifodi daaah..... Hebu tuache huu ulemavu!
Yes ni ulemavu wa kimatamshi!Na wafaransa huita Muhammad = Mammadou, je nao ni walemavu?
Angalia waingireza huita Poland ila wenye nchi yao huita Polska, je na huo nao ni ulemavu kwa waingereza?
Na wafaransa huita Muhammad = Mammadou, je nao ni walemavu?
Angalia waingireza huita Poland ila wenye nchi yao huita Polska, je na huo nao ni ulemavu kwa waingereza?
Basi kama ni hivyo tatizo ni la kiulimwengu na sio wabongo pekee vinginevyo tukubali jinsi tulivyo
Basi ndio maana nasema suala ni la kiulimwengu na hili hutoka na asili ya sehemu husika nami nachojaribu kuelezea kukubali namna yetuTatizo lililo mili kwenye uzembe na uvivu na hasa umimi yaani ubinafsi.
Basi ndio maana nasema suala ni la kiulimwengu na hili hutoka na asili ya sehemu husika nami nachojaribu kuelezea kukubali namna yetu
Maana ukitaka kuwaponda na kuwarekebisha wabongo kuwa hawatamki vyema maneni ya kigeni inabidi pia uwaponde na watu wa mataifa mengine pia kwa kushindwa kuyamihili maneno ya mataifa mengine
Kwahiyo tusijifanye wajuaji sana hili suala ni kawaida sana kwa jamii yoyote ile