Mkuu Rrondo kwa hili la matamshi naomba niwe upande wa watangazaji

Kuchakuro Ps

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
405
500
Nafikiri ukijua kutamka vizuri jina la mtu fulani ni Bora zaidi.
Na nivizuri tu pia ukilitamka kama linavyo tankwa kwa lugha yake asilia.
Tumejifunza lugha za watu mbalimbali za kigeni, lakini katika lugha hizo tumejifunza pia maneno na namna maneno hayo yanavyotamkwa.
Mfano.
School, tunatamka Skul, Sio School kwasababu halitamkwi hivo kwa lugha asili.
Ni mtazamo tu.
 
isajorsergio

isajorsergio

Platinum Member
2,270
2,000
- Bob=Bobu
- Larsson=Larsoni
- Kahl=Kahil
- Wolfsburg=Wofsibugi
- Mainz=Mainzi
- Leipzig=Lepzigi
- Stuttgart=Stutigati
- Karlsruher=Hili jina ni gumu kwa hiyo watakavyotamka nasi tutanakili ila kinyume inakuwa tutaandika tofauti na wao wanavyoandika, sisi tutaandika kama ambavyo watatamka
Rejea;Schule=Inatamkwa shule nasi tunaandika shule na kutamka shule
- Stavanger=Stavangeri
- Waterford=Waterifod
Director Cosmopolitan
Haha umetokea kunifurahisha, anyway... Wajerumani hawapati shida kutamka maneno/majina ya Ki-Swahili.
Alafu ujue Ki-Swahili ndani yake yamo maneno mengi ya kijerumani japo wengi hawajui.
 
kiwiko

kiwiko

JF-Expert Member
1,222
2,000
Upo sahihi mkuu. Andiko lako ni zuri na nakuunga mkono. Think global act local ndio hii. Tuipe nafasi na heshima lugha yetu tukufu na bora ya kiswahili.
 
Mkwawe

Mkwawe

JF-Expert Member
1,765
2,000
Nafikiri ukijua kutamka vizuri jina la mtu fulani ni Bora zaidi.
Na nivizuri tu pia ukilitamka kama linavyo tankwa kwa lugha yake asilia.
Tumejifunza lugha za watu mbalimbali za kigeni, lakini katika lugha hizo tumejifunza pia maneno na namna maneno hayo yanavyotamkwa.
Mfano.
School, tunatamka Skul, Sio School kwasababu halitamkwi hivo kwa lugha asili.
Ni mtazam
Upo sahihi mkuu. Andiko lako ni zuri na nakuunga mkono. Think global act local ndio hii. Tuipe nafasi na heshima lugha yetu tukufu na bora ya kiswahili.
Tatizo watu hudhani ni ushamba
 
XaviMessIniesta

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
2,082
2,000
Mkuu uko njema sana

Tukidumishe Kiswahili chetu
- Bob=Bobu
- Larsson=Larsoni
- Kahl=Kahil
- Wolfsburg=Wofsibugi
- Mainz=Mainzi
- Leipzig=Lepzigi
- Stuttgart=Stutigati
- Karlsruher=Hili jina ni gumu kwa hiyo watakavyotamka nasi tutanakili ila kinyume inakuwa tutaandika tofauti na wao wanavyoandika, sisi tutaandika kama ambavyo watatamka
Rejea;Schule=Inatamkwa shule nasi tunaandika shule na kutamka shule
- Stavanger=Stavangeri
- Waterford=Waterifod

Director Cosmopolitan
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
32,198
2,000
Kwa hiyo mtoa mada unaniambia haya majina nianze kuyatamka hivi...

1. Irelendi
2. Newe zealandi
3. Norwayi
4. Swedeni
5. Windhoek niseme Windihoeki.
6. Johanesiburiga

tehtehtehteh.

Kwenye lugha athari ya lugha mama inaruhusiwa ila sauti za maneno zinatakiwa zibaki vile vile vile vile.

Ulichotaka kukitetea kwenye hoja yako ni "lahaja". Unaona kiswahili au kiingereza.
Mtu wa bara akitamka neno asante na mzanzibar akalitamka mtakuwa tofauti ila wote mlimaanisha asante... ila sauti zinabaki pale pale.

Ila Msukuma akisema rara badala ya Lala huyu hatuwezi kusema eti inaruhusiwa hii ni totally wrong.
 
Mkwawe

Mkwawe

JF-Expert Member
1,765
2,000
Mkuu uko njema sana

Tukidumishe Kiswahili chetu
Kweli mkuu hadhi ya kuwa lugha ya pili kwa kuongewa na watu wengi Afrika ni kubwa sana tusipoanza kurekebisha mambo madogo madogo na kukubali changamoto ambazi hutuboresha tutaonekana ni watu wa hovyo
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom