Mkuu PAW kama unakula kitimoto ni pm; hongera kwa kazi nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu PAW kama unakula kitimoto ni pm; hongera kwa kazi nzuri

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Jul 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,246
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Pengine wengine wawezamlaumu huyu bana lakini sasanaona anairudisha jf kwenye mstari si wengi wanapenda jf iwepo kama hivi ilivyo sasa na vigumu kuirekebisha kwa maneno basi nachukua wasaa huu kuomba kila mwana jf amsapoti na kuacha kusapoti utoto mwisho mkuu kama unakula yale mambo yetu...ngroooooooooooooooongroooooooooooo ntakuwa nyuma ya kanisa la kakobe mida ya saa nane ni pm mkuu tupongezane kwa yule mnyama wetu wa asili
  jumapili njema
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  astaghafulilah
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyu Kijana PAW kumbe anakula Kitimoto, hii ndio sababu kubwa akiwa na asloto ya Kitimoto huwa anapiga BAN hovyo hovyo. PAW njoo nikupe Kazi kwenye ile shamba yangu iko kitimoto mingi mno. Ukijuuzulu hapa JF au wakikutimua ni PM Nafasi ipo wazi kwa ajili yako. Remember kuwa ni Shamba la Vitimoto utakula mpaka uvimbiwe. Hii Offer ipo kwa PAW peke yake bingwa wa Kitimoto
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  Mkuu nyuma ya kanisa pale kwa afande?

  Ntakutafuta.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  mimi mwenyewe lazima niibuke .. nitajifanya mm ndio PAW
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Thread kama hizi mjue zinatuchefua waislamu
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  Mkuu Rashid O ukionja siku moja,,utajuta kwanini ulichelewaga. Hutaacha,,,i promice.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  yaani hata kitimoto kikitajwa tu unachefuka? uko kimwili sana, jaribu kuwa kiroho itakusaidia kufikia lengo

   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,436
  Trophy Points: 280
  hamia somali kwa al shabiib hakuna haya mambo
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pale kwenye kigorofa cha mbao sio?Mimi ndo Invizibo, ntakuja.
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hapa sijaona mahala alipotaja uislam mkuu acha kutaka kukuza mambo. Ila pale Karatu kuna sehemu maalum wametenga kwa watu wa dini yako na huwa wanaanza kupata saa 1 usiku na huwa wanakula gizani na ni marfuku taa kuwashwa. Mi nilishapita nikapata hapo.
   
 12. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mm nilishangaa nilienda abudhabi nkakuta kitimoto kinauzwa hotelini!nilishangazwa sana!wateja wake sasa!sisemei hapa manake ntapigwa ban bure!kweli tembea ujionee!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,246
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  umeonaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhh
  ila sijasikia mpwa
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,246
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  aahaaaaa haaaa kumbe PAW mko wengi mkuu ni PM TUBADILISHE KIKAO ILA CHCURCH YALE TAMU JAAMANI MNAOMISS CHURCH SI MCHEZO MNAMISS MENGI KWELI WAPWA
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Kama PAW ni wa dini ile nyingine mimi nakuonea huruma sana maana ikitokea umepigwa BAN basi ujue moja kwa moja ni Permanent yani hakuna 30 wala 40 days

   
 16. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,567
  Trophy Points: 280
  Pale kwenye kigorofa nyuma ya kwa kakobe kuna jamaa bonge alikuwa anatengeneza kitimoto hatari tupu!baada ya jamaa kufa kwenye ajali ya pikipiki nikahama kijiwe kumbe bado panahusika!
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mfungo unaanza lini?
  Maana jamaa yangu apa migombani huwa haupendi bse mauzo huwa yanashuka sana!
   
 18. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,960
  Likes Received: 20,299
  Trophy Points: 280
  Je mm Konokono, nikuPM
   
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mimi simuungi mkono kabisa. Kampa Raia Fulani permanent ban eti kwa "kushawishi jeshi kupindua nchi". Halafu baada ya wadau kulalamika kuwa amekosea, na anajua kabisa amekosea, akafuta ile thread. Kimsingi PAW alikosea kwa sababu huwezi kupindua nchi. Kinachopinduliwa ni serikali. Kumsapoti kwa kumpa mtu ban kwa kushawishi jeshi kupindua nchi ndio utoto, upotoshaji wa hali na kutoelewa mambo kwa kina. Next time atampa mtu ban kwa kushawishi ng'ombe kula kitimoto na bado unammunga mkono. Tusiendekeze ufinyu wa kuchambua mambo. Kama atakuwa anatoa ban za aina hii, tutaishia kuandika uliyoandika hapo juu.
   
 20. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Posti nzuri lakini akisoma hiyo title bila kuendelea unaweza kula BAN!
   
Loading...