Mkuu Mkoa Dar na serikali tunaomba majibu ya kuridhisha!

Andrew Mushi

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
630
696
Maswali Muhimu yenye kuhitaji majibu toka kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, ambaye hivi sana, he is in absentia, au kwa maneno mepesi aliyepotea au AWOL (Absent Without Leave) kwa ufupi wake.

Na swala jengine muhimu linaelekweza moja kwa moja kwa uongozi wa Muheshimiwa Rais,

Kwanza nitaanzia kwa Mkuu wetu wa Mkoa, maswali yenyewe ni kama ifuatavyo, baada ya brief intro.

Inavyoonyesha na ukweli usiodhihaka, Mkuu wetu wa mkoa amejinafsisha rasmi vita ya madawa ya kulevya, hii inatokana na matamko yake binafsi kwenye social media forum na hata sehemu zote za kiroho anazokwenda kuombewa, ikiwa misikitini, makanisani na hata masinagogi.

990242c5c562c2696430336d06cfb328.jpg


01. Je, unahisi kwa hisia zako ni wewe pekee mkombozi na mpiganaji ktk hii vita? Na jibu lako kama ni ndio,

02. Je, unahisi kitengo maalum kilichoundwa Na Muheshimiwa Rais chini ya uongozi wa Waziri Mkuu na Mkurugenzi wake baada ya kupitishwa kanuni maalum ndani ya Bunge la Jamhuri wa Tanzania under the leadership of Kikwete, hakina nguvu au mashiko ktk kupambana na hili janga? Yaani kimefeli kabla hakija anza? You alone the saviour and hero of the time..

03. Je, unahisi Muheshimiwa Rais amekupora tonge lako mdomoni au unayoita mafanikio yako ktk hii vita ya madawa ya kulevya, kwa kuteua hichi kitengo, na hatimae kukupokonya mafaili muhimu baada ya kufikia stage ya 3 kati ya 8 ulizotujulisha hadharani kwenye media briefings?


Na maswala muhimu kwa Muheshimiwa Rais..

Nimategeo yetu Mkuu wa mkoa analipwa mafao yake kama kawaida akiwa likizo BINAFSI huko South Africa na vitongoji vyake?

01. Je, Muheshimiwa Rais ni haki kwa pesa yetu na jasho letu kutumika ktk misingi hii ?

02.Je, kama si serikali yenye kugharamia hizi trips na holidays za South na vitongoji vyake, je ni nani anaratibu hii nafasi na kumuondoa nchini Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar, ni muhimu kwa wananchi wa Dar wafahamishe yuko wapi Mkuu wa Mkoa Na kwa shughuli gani?

03. Je unaona ni sahihi kwa Mkuu wa mkoa kupokea mishahara yake, hali ya kuwa inavyosemekana Na kushutumiwa na wengi ni kwamba anatumiwa Na third party entity as a private Mkuu wa Mkoa, Yaani kwa maneno rahisi, ofisi ya Mkuu wa mkoa imekua kama kitengo cha Public and private enterprise of some sort.

03.Last and not least, What's next Muheshimiwa Rais juu ya hili sakata, na msimamo wako juu ya taratibu na policy, ulizoziweka wazi kwa watendea kazi wako ktk ngazi za wizara na idara za serikali kupambana na vyeti bandia, na hivi sasa imefikia mafanikio makubwa kuwaondoa wafanyakazi ambao hawastahiki kukalia madaraka na nafasi wasizostahiki, kwa sababu ya vyeti bandia..

Nanukuu as paraphrasing maneno uliyotamka awali, kama wewe form IV umepata zero... wewe njoo jiweke wazi....basi utapangiwa sehemu unayostahili... mwisho wa kunukuu...

04. Na Je, utaweza kupitisha sheria na taratibu maalum, kuwepo kwa uwazi wa vielelezo vya viongozi wa juu wanaoratibu wizara, idara,mikoa na wilaya zetu, yaani CV zao ziwekwe kwenye public portal(websites) za idara husika?

05. Muheshimiwa Rais, hii itatuwezesha kuona sehemu ya mafanikio yao ya awali na kujua wapi hawa viongozi wanatupeleka na muhimu zaidi itakua ni reflection ya utendaji kazi wao, more itakua inspirational kwa vijana wengi.
 
wewe una uhakika na ulichoandika au unasukumwa na ushabiki?aliekwambia Makonda you SA kwa likizo binafsi nani
 
wewe una uhakika na ulichoandika au unasukumwa na ushabiki?aliekwambia Makonda you SA kwa likizo binafsi nani

Ushabiki sio sehemu ya hulka yangu lkn ushabiki wa maslahi ya hii nchi, ndio kipaumbele chetu sote, au unafikira mbadala?

Na tungependa viongozi wetu, wawajibike kwa maslahi ya nchi Na sio vyenginevyo..



67e61593b810d5f7b722f1e78f3b7c32.jpg
 
wewe una uhakika na ulichoandika au unasukumwa na ushabiki?aliekwambia Makonda you SA kwa likizo binafsi nani
Soma post #3. Unasemaje?
Kupunguza malumbano ungesema yupo wapi, kwani safari za rc siyo siri, hata kama kaenda kwa matibabu.
 
Kwahio yeye kujibinafsisha vita ya dawa za kulevya umerudisha vipi nyuma vita hiyo kama sie nyie mawakala wa wauza 'sembe'?

Wewe jitokeze ujibinafsishe hiyo vita uo e ilivyo kazi ngumu....
 
Kwahio yeye kujibinafsisha vita ya dawa za kulevya umerudisha vipi nyuma vita hiyo kama sie nyie mawakala wa wauza 'sembe'?

Wewe jitokeze ujibinafsishe hiyo vita uo e ilivyo kazi ngumu....

Heshima kitu cha bure ndugu, kwa hio umeshindwa kuargue to the point, sasa sisi tumeshakua mawakala?

Anyaway, tukija kwenye swala la ugumu wa kazi, trust me ata kazi yangu ni ngumu kwako, ugumu ni fikra ambayo haina kipimo,

Nikikuuliza ugumu ? Hebu nifafanulie ? Na kamanda sirro yeye pia atakwambia
Kazi yake ngumu? Ukija kwa kitengo kilochoundwa kwa ajili ya vita ya madawa ya kulevya, wao pia watakwambia kazi ngumu, au kwa sababu huwaoni wakilia makanisani? Kazi zao zina wepesi?
 
Back
Top Bottom