Mkuu mduduwasha tunda moja la thread linatosha duplicate aisadii watu kusoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu mduduwasha tunda moja la thread linatosha duplicate aisadii watu kusoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,588
  Trophy Points: 280
  Mkuu heshima
  kuna mada zaarsenal umezijaza kila sehemu sasa asbh tunaangalia mambo muhimu kila kona tunaona arsenal mada ilele ile
  embu angalia kidogo jinsi ya kurekebisha hizo thread mkuu duplicate aisadii nahisi mod nae anao,mbwa kusaidia hili mtu akiweka thread tatu aina moja nahisi vyema ukazifuta zote aijalishi za man arsenal au mambo yetu kule sinza konarbar
  pamoja nahilo
  iddi mubarak
   
Loading...