Mkuu Maxence Melo wa JamiiForums, kesho anapokea tuzo ya CPJ Jijini New York, USA. Wenzetu huko tuonyeshe mshikamano na Ushirikiano

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,180
Wanabodi,

Kesho ndio kesho, ni ile siku mwenzetu Maxence Melo, Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, anakabidhiwa tuzo ya CPJ International Press Freedom Awards katika dinner that will be held on Thursday, November 21, 2019, at the Grand Hyatt New York (42nd Street and Lexington Avenue) in New York.

Kama kawaida yetu sisi Watanzania kushirikiana, kusupportiana na kujumuika pamoja, katika shida na raha, hivyo natoa ombi kwa Watanzania walioko viunga vya New York na vitongoji vyake, especially wana JF, wenye nafasi, onyesheni solidarity ya mshikamano na ushirikiano kwa kujiunga na Max japo kumpongeza tuu, huku kwa sisi wa nyumbani, mapokezi makubwa yanamsubiri siku atakaporejea nyumbani na tuzo yake.

Hongera Max, Hongera JF Team na hongera kwa sisi Watanzania, Max, Katubeba.

Paskali.

====
Ya Wadau

Maxence Melo Mubyazi, Tanzania

(Jamii Forums)

(Jamii Forums)

Maxence Melo Mubyazi is a champion of online freedom of expression in Tanzania. He is the co-founder and managing director of Jamii Forums, a popular East and Central African website and discussion forum that is a source of breaking news. He has been charged under the country's restrictive Cybercrimes Act and, in 2017, appeared in court 81 times.
 
Pascal Mayalla, pBinafsi nakuelewa sana kwa kipawa chako na uchambuzi mzuri.

Sitakuwa mnafiki, nimetokea kukudharau sana kwenye kumchoma Eric Kabendera. Kwanini lakini?

Anyways, life is like that.
Alimchoma vipi? Hii kitu imesemwa sana! Pascal Mayalla
Pascal hilo ni doa kubwa labda kwa vile nchi ni yenu, it does not matter at all!
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom