Mkuu January Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu January Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jan 31, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  Wakuu wangu naombeni kwa moyo mmoja kabisa mnisaidie kwenye hili,siku hizi hatupati zile tv za ITV na Star tv, na nyinginezo,tuinapata TBC na radio zao peke yake

  sasa tumeonyeshwa huyu mkuu akiwa anahojiwa na baadhi ya watangazaji mahiri wa Tbc ambayo tunatazama bila kupenda!mkuu huyu alihojiwa kwenye ofisi yake iliyosheheni mavitabu ya kila aina yakiwemo ya sheria na hadith mbalimbali,

  kwa bahati nzuri au mbaya huyu mkuu nimeishi naye jirani maeneo ya mianzini pale Arusha na ulitokea ugomvi kati yake na mpangaji mwenzake nafikiri yalikuwa mambo ya mademu,alifukuzwa nyumba ile na kutia timu maeneo ya sakina ambako sikumwona tena mpaka nilipokuja kustuka kumwona bungeni!

  wakuu naombeni mwenye cv ya huyu kiongozi anipatie kwa sababu nimepatwa na maswali kutokana na stahili yake ya kukusanya mavitabu mengi na kupiga picha mbele yake,haya niliyaonaga kulele CNN wanapohoji wazito kama wakina baraka obama au bill clinton wanatokea mbele ya mavitabu kibao

  naombeni wakuu wangu nijue elimu ya huyu kiongozi mahiri kabisa anayekuja na stahili ya watazamaji kujiuliza mara mbili mbili!!
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Nipo na hamu zaidi kujua majina ya hivyo vitabu hapo nyuma.

  Una picha nzuri zaidi yenye kusomeka majina ya hivyo vitabu?
   
 3. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Una maana ndiyo kama ilivyo kwenye hiyo picha?
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  Gaijing unajua hiyo picha nilipiga kutoka kwenye Tv,lakini wakati nasoma hivyo vitabu hapo nyuma niliona viwili vimeandikwa kiarabu na kimoja hadith za shigongo halafu nikafanikiwa kuona kimoja kimeandikwa law,sikuweza kusoma zaidi kwa kuwa walitoa muda ulikwisha
   
 5. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  mkuu ni kweli hiyo??
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hahahahaaaaa........Dah!! Wa bongo kweli Sisi sote Ni wanasiasa....kifupi jamaa kweli hizo Ni tekniki tu Hamna jipya, kwa umri wake na malezi yetu cc ya kitanzania labda Aseme alikuwa library na sio ofisini Kwake.......asitudanyanye hata kidogo angekuwa Ni baba yake hapo sawa kwani kwa Saundi za Yule mzee yusuf na anavyojua kuchambua kiaina baibo japo yy Ni Muslim kidogo unaweza ukajaa kwny 18zake lakini kwa January!!! Mmh! Full usanii hapo.
   
 7. h

  herberts Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi ilishauzwa hii ulitegemea nini baada ya kutoka kwa Tido Mhando? Acha bwana, siku hizi hata AFCON kuiona mpaka uichungulie UBC
   
 8. h

  herberts Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani asome vitabu hivyo wakati wabongo tunasomea mitihani labda kama alikuwa anajiandaa na paper
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii ni kweli au basi tu umeamua kumharibia
   
 10. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona majina ya vitabu vifuatavyo

  Republic/Plato
  Wealth of Nations
  From third to First World
  48 Laws of Power
  Nicomechian Ethics-Aristotle
  From Promise to Power/Obama
  Leading Change
  Great Lakes of Africa
  The Prisoner of the State
   
 11. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu una macha makali,tunaomba mtu atupanile hiyo picha kidogo iwe kubwa
   
 12. Game Theory I

  Game Theory I Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu acha kuweweseka.

  Huyu jamaa hajawahi kuishi hiyo mitaa unayosema. Amesoma Galanos na amefanya kazi makambi ya Wakimbizi wa Ngara na Kigoma, Carter Foundation. Kasoma George Mason University, ni diplomat wa daraja la II (Tafuta kabrasha wizara ya mambo ya nje kama uko interested). Amewahi kuwa speech writer wa JK kwa miaka mitano. (Uwezo wake umesimama kama utalinganisha speech za JK za miaka mitano iliyopita na hizi za sasa). Plus, vitabu unasema vya mashairi na Shigongo? Kijana ni mwamndishi mzuri, tazama hii video utajua vitabu ni vya aina gani Hon. January Y. Makamba on TANESCO's 40.29% electricity charges hike.avi - YouTube
  Mwisho kabisa January ni mfano wa kuigwa, jipange ukitaka kuchafua vijana wa sampuli hii.

  GTI
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Cha Hadithi za Shingongo hukukiona?
   
 14. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  mkuu mbona mnatuchanganya manake unakuja na mambo tofauti na yaliyoletwa na mtoa hoja,,au umesoma taarifa zake mwenye vitabu labda humjui undani wake?
   
 15. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Game Theory I

  Game Theory I Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajichanganya wewe.
   
 17. G

  Galinsanga Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapo haku mada.
  Hii si ni home work yenu tu kutafuta CV ya mtu.
  Hata hapo kwenye website ya Bunge utapata.

  Acha uzembe na woga wa vitabu
   
 18. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,659
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Amejichanganya nini wakati amejibu kulingana na swali? Kama alivyosema GT, mkitaka kuwachafua watu wa aina ya January ni vizuri mjipange na hoja zenye mashiko!!!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hahah kweli JF ni kiboko.. unafikiri hayo mavitabu keshayasoma yote? halafu facebook na twitter akae nani?
   
 20. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Eti naskia Galanos alifutiwa matokea kwa kuiba mitihani na kuangalizia...

  Ya kweli hayo?? Kwa vile inaonyesha unamjua vizuri hebu tujuze basi. Ni vizuri kumuweka kwenye scrutiny sana ili huko mbele awe free na hizi kashfa.
   
Loading...