Mkuu: Ili uwekezaji Dar uende kasi, Tumbua,weka Mtaalamu wa Diplomasia na Uchumi

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,764
3,340
Hili siyo jipya kwa jamvi hili.

Uwekezaji tunaohitaji siyo wa mzaha. Kuwa ukishatenga maeneo, watakuja wenyewe, no thank you.

Ndiyo maana kwenye kikao cha jana tumesikia kudorora kwa uwekezaji kule site ya Kigamboni.

Ni ukweli kuwa wadau wengi hawapendezwi na hulka na aina ya kiongozi huyu anaesimamia hilo Jiji.

1. Wawekezaji wengi wanaona Pwani na Mikoani ni bora kwa sababu hiyo

2. Ushauri aliotoa wa kubomoa Car Yards na garages ziende Kigamboni zililenga Kabila fulani zaidi na siyo uhalisia. Hii ni chuki kwa aina ya wawekezaji.

3. Hana uwezo wa kuendesha, kusimamia makongamano ya kibiashara ambayo ni muhimu duniani kote hasa miji Mikuu ya kibiashara ya nchi.

4. Tuliambiwa kuna Wachina wanakuja kuwekeza viwanda 200 Dar, je wamekuja?

5. Hakuna ustaarabu kutangaza kila Mwanaume Dar atapimwa tezi dume, hii ni dharau kwani hata hao wawekezaji wanaume hawatakubali mazingira hayo.

6.Uvamizi kwenye vituo vya wawekezaji ( clouds) ni dalili ya kukosa diplomasia ya kumaliza migogoro ktk uwekezaji.

7. Msiba wa Mengi, ilikuwa aibu kimavazi na kimatendo; licha ya kumdharau Katibu Mkuu wetu, pia PM mbele ya Askofu. Haya siyo maadili kwa waumini kwani baadhi wangependa kuwekeza Dar.

Mwisho, Mkuu, unaheshimika sana ndani na nje ya nchi na tunakuamini.

Hatutachoka kukupa Maoni yetu ili kwa pamoja tuipeleke mbele nchi yetu.

Tuondolee mtu huyu.
 
Makonda kasema akiwepo 2020 wabunge wa D'slaam watakao chelewesha maendeleo ya WANYONGE watakiona cha mtema kuni.

Source : Mwananchi.
 
Acha chuki, Mkuu wa mkoa hatungi sera wala kanuni.
 
Mwisho, Mkuu, unaheshimika sana ndani na nje ya nchi na tunakuamini. Hatutachoka kukupa Maoni yetu ili kwa pamoja tuipeleke mbele nchi yetu.
Tuondolee mtu huyu.

Paul Makonda is necessary for the catalyst of political equillibrium of the 23rd century.

I detest some of his antics but I can surely say, on the same note, that his quality and calibre was and is still needed to forego many of Dism politics.

I bet you are all in awe. Kwa sababu sio wa Dar!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom