Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Mtaa wa jangwani karibu na klabu ya mpira ya Yanga karibu mkuu.hahahaha ni maeneo gani nikamuungishe
hahahaha ni maeneo gani nikamuungishe
Hahah, mkuu tulikubaliana unipige picha ila sio uniupload jf. Lol, umeshareveal true identity yangu sasa!
Mtaa wa jangwani karibu na klabu ya mpira ya Yanga karibu mkuu.
Njoo niungishe mkuu maana na mvua hizi za hapa na pale biashara inakua ngumu kidogo!
shukrani mkuu, si unajua mambo ya uniqueness kwenye biashara?wapi donlucchese, umetokelezea.....
yes mkuu,naipenda kazi yangu ndo mana nafanya vitu flani vya utofautiKumbe ukiwa kazini unapendeza hivo..loo..
za kutosha sana mkuubasi poa nitakuja usisahau kuwa na kashata
hahaha si unajua mkuu an eye for an eyeNyie jamaa mmeamua kumwaga "profesheni" zenu hapa jukwaani, naona yeye baada ya kukutoa ukiwa jikoni unatengeneza kande na wewe umemwaga mboga...hahahaaa... kuna jamaa Buguruni ndo mavazi yake hayo kama donlucchese
yes mkuu,naipenda kazi yangu ndo mana nafanya vitu flani vya utofauti
usijali mkuu nina mtandao wa mafundi matata sana we nipe coordinates zako nitakulink kwa mmojaNataka nianze hii biashara huku kwetu ..hili vazi hasa suruali naweza kumpata wapi fundi mtaalam anishonee?