donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,046
- 21,518
haha asante sana mkuu, karibu ghahawa!Hahahaaaaa amakweli kuipenda kazi ndio msingi wa mafanikio hongera mkuu@donlucchese
haha asante sana mkuu, karibu ghahawa!Hahahaaaaa amakweli kuipenda kazi ndio msingi wa mafanikio hongera mkuu@donlucchese
Njoo niungishe mkuu maana na mvua hizi za hapa na pale biashara inakua ngumu kidogo!
'em sogeza kahawa 4 hapa mjengoni mkuu
Dry au na kashata mkuu?
haina shida mkuu, coming right away. Ila hata ka tipu mkuu?fanya tatu dry na kashata moja mkuu, jioni hii kuna kibaridi kwa mbaaaali
haina shida mkuu, coming right away. Ila hata ka tipu mkuu?
Njoo niungishe mkuu maana na mvua hizi za hapa na pale biashara inakua ngumu kidogo!
zipo mkuu wewe tuu!mi nataka na kashata za karanga....
Ziwapi nizione!!zipo mkuu wewe tuu!
bila ubunifu......shukrani mkuu, si unajua mambo ya uniqueness kwenye biashara?
Donlucchese bei gani kahawa?
Ziwapi nizione!!