Mkutano was ccm mwembe yanga.

mkabasia

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,809
2,369
Jamani kuna anae angalia ITV muda huu? Ivi wanachoimba ni sawa, bado rasimu aijaanza kujadiliwa bungeni wenyewe wanaimba serikali mbili ndo mpango mzima.
 
Nguvu iliyotumia kutaka mkutano na nilicho shuhudia ni mtu mjinga tu ndio anaweza kuiona afya ya ccm kwenye tundu la sindano
 
Ni mwenye akiri za maiti tu ndo anaweza kuwa limbukeni wa siasa chafu za Nchi yetu!
Binafsi sioni kinachofanyika pale DODOMA ni USHENZI mtupu!
 
Back
Top Bottom