Mkutano wa watanzania leo washington DC[mgeni Mr Mbowe wa CHADEMA]

kutakuwa na mkutano leo saa nane mchana,kwenye address hii 8810 roundhouse cir Easton ,Md zip 21601.TUNAOMBA MTANZANIA MWENYE UCHUGU NA NCHI AJE KUTOA MAWAZO YAKE NINI KIFANYIKE HUKO NYUMBANI.NJOO TUBADILISHANE MAWAZO ,JINSI YA KUMPONYA MAMA TANZANIA.MUNGU IBARIKI TANZANIA

turipotianeni live basi....
 
Mkutano umefanyika vizuri sana.na watu tumekubaliana lazima gamba la kobe litango'ka safari hii tunakuja na mbuni za kimataifa .sasa kazi kwao.mbiu yenu ya kasi mpya ipo wapi magamba????????.mtaona gwaride letu sasa hivi.sasa hivi hatutizami kushoto kulia tunatizama mbele tu kwa ajili ya wananchi pamoja na wewe unayepiga sasa hivi.mjukuu wako atatupongeza .

ungeweka picha kidogo...

Au unaogopa mjadala utachakachulika?
 
jk alianza hivi hivi!safari moja huanzisha nyingine,wapiga kura wapo tz,dc wafata nini kamanda?karuzuku kenyewe kadogo
 
Back
Top Bottom