Mkutano wa Wanajimbo la Mlalo Lushoto Waishio Dar es Salaam Siku ya Kesho 24-05-2014

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Wakuu Mniwie radhi kwa wale Ambao Sio Wanajimbo la Mlalo ila JF naamini ni sehemu sahihi kabisa kutoa Tangazo hili ambalo Nimelibandika kwa niaba ya Uongozi wa CHADEMA wilayni Luahoto hasa Jimbo la Mlalo.
Naomba atakayepata taarifa hizi ampatie na mwingine.Pengine Tumechelewa kutoa Tangazo hapa lakini hii ni kwa sababu tumeshafanya jitihada mbalimbali kuwafikishia wadau wa chama na Hivyo Jamiiforums ndio Sehemu Kuu na ya mwisho kutoa Taarifa hizi.

Hapa chini nimenukuu tangazo kama lilitolewa na Uongozi.
MLALO IMARA INAENDA KUJENGWAWANA WA JIMBO LA MLALO LILE KONGAMANO LETU NI JUMAAPILI YA KESHO PALE TRAVENTINE HOTELI MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM.KWANZIA SAA 7 MCHANA MPAKA SAA 12 JIONI:


Tutakuwa na viongozi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu ambao wameamua kuja kutuunga mkono na kuchokoza mada mbalimbali zenye tija na ustawi kwa jamii ya wana Jimbo la Mlalo nao ni;


MH ISRAEL NATSE MBUNGE WA KARATU NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA KASKAZINI.


MH AMANI GLUGWA KATIBU WA KANDA YA KASKAZINI


MH CHARLES KAGONJI ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA JIMBO LA MLALO KWA MIAKA 15


JOHN MREMA, MKURUGENZI WA BUNGE NA HALMASHAURI.


MOHAMEID MTOI MRATIBU WA KANDA TAIFA,


SAID SALEH MBWETO MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA TANGA


JONATHANI BAWEJE KATIBU CHADEMA MKOA WA TANGA


HENRY KILEO KATIBU WA MKOA WA DAR ES SALAAM


UONGOZI MZIMA WA CHADEMA WILAYA YA LUSHOTO NA JIMBO LA MLALO.


NA WADAU MBALIMBALI


KARIBUNI WANA MLALO TUIJENGE MLALO YETU


ASANTENI
 

Mandingo

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
4,150
2,000
Haya haya shungai vibwebwe waume binafsi napenda kushiri ila nipo mbali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom