Mkutano wa Wanajimbo la Mlalo Lushoto Waishio Dar es Salaam Siku ya Kesho 24-05-2014

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Wakuu Mniwie radhi kwa wale Ambao Sio Wanajimbo la Mlalo ila JF naamini ni sehemu sahihi kabisa kutoa Tangazo hili ambalo Nimelibandika kwa niaba ya Uongozi wa CHADEMA wilayni Luahoto hasa Jimbo la Mlalo.
Naomba atakayepata taarifa hizi ampatie na mwingine.Pengine Tumechelewa kutoa Tangazo hapa lakini hii ni kwa sababu tumeshafanya jitihada mbalimbali kuwafikishia wadau wa chama na Hivyo Jamiiforums ndio Sehemu Kuu na ya mwisho kutoa Taarifa hizi.

Hapa chini nimenukuu tangazo kama lilitolewa na Uongozi.
MLALO IMARA INAENDA KUJENGWAWANA WA JIMBO LA MLALO LILE KONGAMANO LETU NI JUMAAPILI YA KESHO PALE TRAVENTINE HOTELI MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM.KWANZIA SAA 7 MCHANA MPAKA SAA 12 JIONI:


Tutakuwa na viongozi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu ambao wameamua kuja kutuunga mkono na kuchokoza mada mbalimbali zenye tija na ustawi kwa jamii ya wana Jimbo la Mlalo nao ni;


MH ISRAEL NATSE MBUNGE WA KARATU NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA KASKAZINI.


MH AMANI GLUGWA KATIBU WA KANDA YA KASKAZINI


MH CHARLES KAGONJI ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA JIMBO LA MLALO KWA MIAKA 15


JOHN MREMA, MKURUGENZI WA BUNGE NA HALMASHAURI.


MOHAMEID MTOI MRATIBU WA KANDA TAIFA,


SAID SALEH MBWETO MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA TANGA


JONATHANI BAWEJE KATIBU CHADEMA MKOA WA TANGA


HENRY KILEO KATIBU WA MKOA WA DAR ES SALAAM


UONGOZI MZIMA WA CHADEMA WILAYA YA LUSHOTO NA JIMBO LA MLALO.


NA WADAU MBALIMBALI


KARIBUNI WANA MLALO TUIJENGE MLALO YETU


ASANTENI
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Yaani mnaacha kufanya kazi za kujenga kwenu sasa mnaanza siasa wanachi kwenu kule Mwangoi, Duga, Nyasa mpaka Lukozi sokoni wananyanyasika kuuza mboga mmewasaidia vipi? ???!!!!!

Hebu kama mnaitania siasa wekeni wazi msichuuze wananchi bure!!!!!
 

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Mkuu OLESAIDIMU hilo swali libafaa uilize serikali ya CCM ilioko madarakani.Lakini ni changamoto nzuri kwetu pia..Ahsante tuko pamoja mkuu
 
Last edited by a moderator:

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Mkuu OLESAIDIMU hilo swali libafaa uilize serikali ya CCM ilioko madarakani.Lakini ni changamoto nzuri kwetu pia..Ahsante tuko pamoja mkuu

Hao utauliza nini na utaacha nini kuuliza????!!!
Mi nawashauri nyie mlioanza ya kuwa kuweni wawazi na wa.kweli katika mambo yenu suala la kusema wanajimbo halafu mmejaza viongozi wa siasa wa kichama huu ni mwanzo mbaya wa historia kwa kusema uongo!!!!!
 
Last edited by a moderator:

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Thanks nimekupata mkuu.

Poa kaka,kuna watu safi kule na wana muamko sana. Wachapakazi wazuri na kwa kweli wanastahili viongozi imara na wakweli ila kwa kiasi kikubwa sana kuna potentials sana kule!!!!!

Yaani akipatikana mchapakazi tu basi watu wa kule shida na umasikini vitapungua saaanaa
kama wanajikongoja mpaka.wanajenga ghorofa za miti wakiwezeshwa hawa si wanajiongoza kabisa???!!!!
 

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Mkutano wetu unaendelea sasa
 

Attachments

 • 1401026843046.jpg
  File size
  67.1 KB
  Views
  46

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Mkutano unaendelea muda huu.Pichani ni Katibu Mkuu kanda ya Dar es Salam Ndugu Kilewo akizungumza na wadau wa jimbo la Mlalo
 

Attachments

 • SAM_9851.JPG
  File size
  808 KB
  Views
  38

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
421
225
Muda huu Katibu Mkuu BAVICHA jimbo la Mlalo, akizungumza na wananchi wake
 

Attachments

 • SAM_1872.JPG
  File size
  971.8 KB
  Views
  35

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom