Among other resolutions, I am tipped they have agreed to force JK out of party's chairmanship before his period expires. The reason for their lost confidence in JK is partly due to on the way he handles the ongoing process of constitution-making accusing him of siding with Chadema by subscribing to their proposals even without consulting CCM. JK vainly attempted to defend himself over accusations when was given chance to do so. The NEC is due to conduct a meeting at the end of this month to contemplate the matter which will perhaps see the arrangement for earlier party elections.
Mkuu mwaka 2006 Mukama alikuwepo kweli? Manake namuona hapo pembenimbona picha ni za tarehe 25/6/2006?. kwa ufupi picha zimechanganywa. baadhi ni dar nyingine ni dodoma. sijaelewa bado.
Mkuu ningekuwa mimi ndio Kinara wa CCM ningeyaondoa hayo maneno japo kwa sasa! Maneno haya yananikumbusha Ufunuo wa Yohana pamoja na kitabu cha Daniel. Nimeyasoma tena na tena na kugundua hekima iliyokuwa imesheheni ndani ya ubungo wa Mwalimu.Hivi hao watu hawaoni maandiko ya mwalimu kwenye hilo bango nyuma yao ambayo ni utabiri wa kinachoendelea leo?
kazi kutafsiri kwa vtendoMkuu ningekuwa mimi ndio Kinara wa CCM ningeyaondoa hayo maneno japo kwa sasa! Maneno haya yananikumbusha Ufunuo wa Yohana pamoja na kitabu cha Daniel. Nimeyasoma tena na tena na kugundua hekima iliyokuwa imesheheni ndani ya ubungo wa Mwalimu.
Among other resolutions, I am tipped they have agreed to force JK out of party's chairmanship before his period expires. The reason for their lost confidence in JK is partly due to on the way he handles the ongoing process of constitution-making accusing him of siding with Chadema by subscribing to their proposals even without consulting CCM. JK vainly attempted to defend himself over accusations when was given chance to do so. The NEC is due to conduct a meeting at the end of this month to contemplate the matter which will perhaps see the arrangement for earlier party elections.
katika kikao hicho nimeona jamaa mmoja amepiga kapero nyekundu je hiyo ina maana gani kwa wanachama na viongozi wa CCM?Mkuu mwaka 2006 Mukama alikuwepo kweli? Manake namuona hapo pembeni
Sijamuona ila kama yupo atakuwa ana roho ya uasi!katika kikao hicho nimeona jamaa mmoja amepiga kapero nyekundu je hiyo ina maana gani kwa wanachama na viongozi wa CCM?