Watu hawajui kuwa Al-Adawi ni mzaliwa wa Zanzibar pia; kuna maslahi makubwa tu kwa yeye kuleta hayo majenereta na KULIPWA! Kikwete kabanwa..
Nungu nungu upo? Hii inaelekea kuthibitisha kale kaharufu nilikokasema mwanzo.
Haiwezekani msomi mzima kama LIPUMBA aongee PUMBA namna hii.
Tutashuhudia mengi