Mkutano wa UVCCM Arusha Sanawari safi

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
Leo kwa mara nyingine nimefanikiwa kuuona Mkutano wa UVCCM Arusha sanawari kwawanao laumu kuhusu mahudhurio siyo sahihi kwani siyo Mkutano wa chama bali ni wa vijana tuuu

Kwamimi nawapongeza sana hawa vijana kwanza wana hoja za msingi maana wanaongea mambo ya msingi
 
Mbaazi ukikosa maua, husingizia jua!
 
Leo kwa mara nyingine nimefanikiwa kuuona Mkutano wa UVCCM Arusha sanawari kwawanao laumu kuhusu mahudhurio siyo sahihi kwani siyo Mkutano wa chama bali ni wa vijana tuuu

Kwamimi nawapongeza sana hawa vijana kwanza wana hoja za msingi maana wanaongea mambo ya msingi

Ndiyo umetoka kwenye ule mkutano wenu pale wa kuiongelea Chadema?? Pole kwa kazi baba, kawadanganye ambao hawakuwepo.
 
Leo kwa mara nyingine nimefanikiwa kuuona Mkutano wa UVCCM Arusha sanawari kwawanao laumu kuhusu mahudhurio siyo sahihi kwani siyo Mkutano wa chama bali ni wa vijana tuuu

Kwamimi nawapongeza sana hawa vijana kwanza wana hoja za msingi maana wanaongea mambo ya msingi

Weka picha
 
CCM ilishakufa Arusha, mkutano wa sanawari utadhani kikao cha familia!
Leo kwa mara nyingine nimefanikiwa kuuona Mkutano wa UVCCM Arusha sanawari kwawanao laumu kuhusu mahudhurio siyo sahihi kwani siyo Mkutano wa chama bali ni wa vijana tuuu

Kwamimi nawapongeza sana hawa vijana kwanza wana hoja za msingi maana wanaongea mambo ya msingi
 
Leo kwa mara nyingine nimefanikiwa kuuona Mkutano wa UVCCM Arusha sanawari kwawanao laumu kuhusu mahudhurio siyo sahihi kwani siyo Mkutano wa chama bali ni wa vijana tuuu

Kwamimi nawapongeza sana hawa vijana kwanza wana hoja za msingi maana wanaongea mambo ya msingi

We zuzu acha uongo unawapongeza wale wakata viuno wa ngoma kwa ukataji mauno magumuuuuu ukiwepo na wewe au unapongeza nini hapa????... plz explain
 
Picha aitoe wapi? Viti vya plastic zilikuwa 30, nusu nzima hazikuwa na watu

nimesimama simama pale ila Aibu ikaniondoa!nilihisi kama waungwana wataniona kama punguani kwa kuwepo kwenye kikao kile cha aibu! hivi jamani ccm tumewakosea nini watanzania??? mbona mnatuchukia hivyo? roho inaniuma sana.
 
Leo kwa mara nyingine nimefanikiwa kuuona Mkutano wa UVCCM Arusha sanawari kwawanao laumu kuhusu mahudhurio siyo sahihi kwani siyo Mkutano wa chama bali ni wa vijana tuuu

Kwamimi nawapongeza sana hawa vijana kwanza wana hoja za msingi maana wanaongea mambo ya msingi

basi sawa lakini tunaomba picha.
 
nimesimama simama pale ila Aibu ikaniondoa!nilihisi kama waungwana wataniona kama punguani kwa kuwepo kwenye kikao kile cha aibu! hivi jamani ccm tumewakosea nini watanzania??? mbona mnatuchukia hivyo? roho inaniuma sana.

Mimi ilibidi niingie pale City garden nitumbukize kinana taratibu watu wasije wakaniona nimekuja kwenye ile aibu
 
Labda waweke picha ya mwingulu Ashante Mhe Lema Kwaku tokomeza ccm Arusha namnukuu zambi mbaya nakubwa kuliko zote Niuwoga.
 
Back
Top Bottom