Mkutano wa upokonyaji silaha wamalizika bila mafanikio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa upokonyaji silaha wamalizika bila mafanikio

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Feb 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,770
  Likes Received: 4,912
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Maendeleo katika mkutano wa upokonyaji silaha mwaka huu yamekuwa mabaya sana, kwani mkutano huo umeshindwa hata kufikia jambo la kulifanyia kazi, amesema mkurugenzi mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva Sergei Ordzhonikidze katika hafla ya kufunga mkutano huo mapema leo...
  Amesema kwa muda wa wiki nne za mkutano huo na matumizi makubwa ya bajeti ya Umoja wa Mataifa kuendesha mkutano, hakuna matunda yoyote yaliyopatikana ni sifuri, hivyo amesema uvumilivu wake kwa mahusiano ya kimataifa sasa unaanza kupungua.

  Amehitimisha kwa kusema kwamba hadi hapo mkutano huo utakapotanabahi hali ya sasa ya uhusiano wa kimataifa basi hauna msingi wowote, na kwa niaba ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea kusikitishwa kwake na juhudi ndogo zilizofanyika na hivyo kutofanikisha nia ya mkutano huo. http://www.globalpublisherstz.com/
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...