Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,220
- 52
Mama Majaar, tunajua sasa una kadi ya CCM. Umechukua baada ya kuona ulaji unakaribia. Bahati mbaya jina lako bado linaonekana kule kwenye trustee members wa CHADEMA.
Leo mmefanya Mnigeria aonekane mkubwa hata kuliko balozi wa nchi. Yaani mlikuwa mnashukuru utafikiri huyo mama ni rais wa nchi?
Hivi TA yetu mmeiuza wapi? TA ni Faraji na Nora.
Namshukuru katibu Lusingu kwa kunionyesha njia kwenda chooni, na kwenda ukumbini. Wakati Shein amekuwa mzee wa mikasi, mmefanya katibu wetu, mzee wa kuongoza watu kwenda vyooni?
Halafu ndo anataka sisi tujiunge na TA???