Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,536
- 643
Jukumu la kujenga Zanzibar mpya na Zanzibar tuitakayo ni la Wazanzibar wenyewe na Watanzania wote.
Nadhani hilo jekundu ndio limekuwa mwiba wa mchongoma ndani ya Zenj.
1. Japo rais ni wa zenj, lazima achaguliwe na bara
2. Wazenj wasipompigia kura rais aliyependekezwa na bara, wabara wanasimika madarakani (rejea 1).
**Katika hili, jukumu la kuijenga Zenj ni la wazenj wenyewe, period