Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,034
hii ndiyo ninayoitakaTea break is over.
Nondo za ukweli sasa ndio zinaanza kushuka, yaani paper presentation.
Mada ni kama zifuatazo
1. Historia ya Zanzibar na Utamaduni wa Uvumilivu wa Kisiasa
by Jaji Mkuu, Agustino Ramadhani.
2. Uzanzibari Ukaazi, Msingi wake kisheria na Kikatiba-Mtazamo wa Ndani
by Pandu Hassan, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
3. Uzanzibari Ukaazi, Msingi wake kisheria na Kikatiba-Mtazamo wa Nje
by Makame Mahmod Khamis, ZLSC.
4. Tathmini ya Chaguzi za Zanzibar by Prof. G. Mpangala.
5. Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 na Ujenzi wa Demokrasia, Mkakati wa ZEC by Salum Kasim Ally, Mkurugenzi wa Uchaguzi Zanzibar.
6. Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 na Ujenzi wa Demokrasia, Mtazamo wa Azaki by Hassan Khamis Juma, ANGOZA.
7. Nafasi ya Asasi za Kiraia katika kujenga Maridhiano ya Kitaifa Zanzibar:
Uzoefu wa REDET By Ali Haji Vuai. Mratibu REDET, ZnZ.
8. Yanayowezekana katika Muafaka Zanzibar by Prof. Daudi Mukangara.
9. Dhana ya Muafaka: Mtazamo wa CCM by Juma Ramadhani Feruzi, Naibu Katibu Mkuu, CCM Zanzibar.
10. Dhana ya Muafaka: Mtazamo wa CUF by Ismail Jussa, Msaidizi wa Katibu Mkuu
CUF.
11. Uwezekano wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Wakati wake na Muundo
wake by Prof. Samweli Mushi.
Baada ya hapo ni majadiliano ya Mustakabali Zanzibar, na Zainzibar Tuitakayo