Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,656
- 7,268
Kwan Zanzibar hakuna Rais wakuwaita wazanzibar wafanye mkutano na vijana wa kizanzibar ww ni fala.Nilitaraji mkutano huu ufanyike Zanzibar ili kuleta uwiano wa Muungano.
Kwan Zanzibar hakuna Rais wakuwaita wazanzibar wafanye mkutano na vijana wa kizanzibar ww ni fala.Nilitaraji mkutano huu ufanyike Zanzibar ili kuleta uwiano wa Muungano.
Mimi sio mwanaharakati mkuu, kama upo Mwanza karibu nyuma ya kichogo tusalimiane.Ili kuijua user ya vvm, na upo mwanza live, unaenda kwa nyuma ya usawa wa huyo mtu wa nyuma ambayo kichogo chake kimeonekana then vvm huyu hapa..
Muwe makini mnapo post Uzi humu labda usiwe mtu wa kutukana na kudharau viongoz wa serikali
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hilo sawa kabisa na pia sasa inabidi wahimizije watu kuvaa barakoa vizuri maana nimeona watu wanavaa kwa kuziba mdomo tu ila pua iko wazi.Usisitizwaji
Tunavyocheza na corona hadi raha kisa barakoa zinatulinda😂😂😂😂
Wasanii wa bongo = distractors = time wastersUkishaona kuna lundo la wasanii ujue ni porojo za siasa kama porojo nyingine.
Ujinga ujinga tu. Time wastage.
Hakuna jipya.
Hilo sawa kabisa na pia sasa inabidi wahimizije watu kuvaa barakoa vizuri maana nimeona watu wanavaa kwa kuziba mdomo tu ila pua iko wazi.
Appropriate use of face masks is important. The face mask should completely cover the face from the bridge of the nose down to the chin. Clean hands with soap and water or alcohol-based hand sanitiser before putting on and taking off the face mask. When taking off the face mask, remove it from behind, avoiding to touch the front side. Dispose the face mask safely if it is disposable. Wash your hands or apply alcohol-based hand sanitiser immediately after removing the face mask. Washable, reusable face should be washed as soon as possible after each use, using common detergent at 60 °C. Campaigns for the appropriate use of face masks may improve the effectiveness of the measure.
Jiheshimu wewe, nitumwe mie jini? Na wewe umetumwa na ccm kutetea au? PatheticUtakuwa umetumwa na mbowe kueneza hizi propaganda.