Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 29,619
- 26,024
Muulize kamanda tuvushe uone. Ova.Hivi hiyo mikutano /vikao vinakuwaga na manufaa kweli
Ova

Hapana. Ni burudani tu na kusukuma mudaHivi hiyo mikutano /vikao vinakuwaga na manufaa kweli
Ova
Wimbo wa Zuchu wa Sukari Nampa Tamu una faida gani hapo? Ameshindwa nini tu Kuonyesha Ubunifu wake na akayabadili hayo Mashairi yakawa katika Context ya Kimaendeleo ili yaendane na Tukio zima la Ziara ya Rais hapo walipo? Wasanii wengi ( siyo wote ) wa Tanzania ni Wapumbavu ( Fools ) sana akiwemo huyu Binti.Huu ni uzi huru (sio rasmi)
Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote.
Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii.
Ikumbukwa kwamba vijana ndio kundi la maamuzi na inakadiriwa asilimia 60 ya watanzania ni vijana.
Moja ya Agenda kubwa inayotegemewa kujadiliwa ni ujumuishaji wa vijana katika uchumi ikiwemo ajira, fursa za biashara na kilimo, bila kusahau vijana na siasa jinsi gani vijana wanahusishwa katika maamuzi ya nchi na siasa kwa ujumla.
Vijana ndio taifa la leo na kesho.
Viongozi na Wasanii mbali mbali watakuwepo akiwemo Rayvany,Zuchu, Kala Jeremaya, Peter Msechu, TOT Band, Eliza Band. . nk
Tujumuike pamoja katika mkutano huu moja kwa moja kutoka uwanja wa Nyamagana Mwanza
Na mwisho nitaweka uchambuzi wangu binafsi hapa.
View attachment 1819104View attachment 1819107
Utakuwa umetumwa na mbowe kueneza hizi propaganda.Watu wanashushwa na mabasi hapa opposite na tra ili waende kuhudhuria mkutano sijui wametolewa wapi
Basi kama kuna wasanii hakuna jambo hapo
Ova
Muziki ni catalyst au stimulant unachangamsha ubongo na akili.Swala ni kuongea na vijana sasa mambo ya miziki ya nini tena au bila hivyo hakuna cha kufanyika? Halafu hizi mambo kama sizielewi elewi, issue inakuwa ni wazee wa Tanzania ama wanawake wa Tanzania ama Vijana wa Tanzania surprisingly enough issue inakuja kuwa ya Chama na si watanzania tena.
Inaudhi na inakatisha tamaa. Hatimaye watu wenyewe wanaenda kuongea ujinga tu wanashindwa ku address kile vijana wanahitaji toka kwa Serikali, mijitu inaanza kusifia tu.
Amwage ajira na kazi kwa vijana, aone namna ambavyo upinzani utatokomea TZ na aone kama atakaa atoke madarakani, baada ya hapo atarudi mwenyewe humu kuja kunishukuru na kunipa teuzi za kimataifa.Huu ni uzi huru (sio rasmi)
Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote.
Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii.
Ikumbukwa kwamba vijana ndio kundi la maamuzi na inakadiriwa asilimia 60 ya watanzania ni vijana.
Moja ya Agenda kubwa inayotegemewa kujadiliwa ni ujumuishaji wa vijana katika uchumi ikiwemo ajira, fursa za biashara na kilimo, bila kusahau vijana na siasa jinsi gani vijana wanahusishwa katika maamuzi ya nchi na siasa kwa ujumla.
Vijana ndio taifa la leo na kesho.
Viongozi na Wasanii mbali mbali watakuwepo akiwemo Rayvany,Zuchu, Kala Jeremaya, Peter Msechu, TOT Band, Eliza Band. . nk
Tujumuike pamoja katika mkutano huu moja kwa moja kutoka uwanja wa Nyamagana Mwanza
Na mwisho nitaweka uchambuzi wangu binafsi hapa.
View attachment 1819104View attachment 1819107
Na sisi vijana wa Mwanza tumeshaliziki na ujinga wao.Swala ni kuongea na vijana sasa mambo ya miziki ya nini tena au bila hivyo hakuna cha kufanyika? Halafu hizi mambo kama sizielewi elewi, issue inakuwa ni wazee wa Tanzania ama wanawake wa Tanzania ama Vijana wa Tanzania surprisingly enough issue inakuja kuwa ya Chama na si watanzania tena.
Inaudhi na inakatisha tamaa. Hatimaye watu wenyewe wanaenda kuongea ujinga tu wanashindwa ku address kile vijana wanahitaji toka kwa Serikali, mijitu inaanza kusifia tu.
Sometime wanalazimisha watu ili waende kwenye hii mikutanoWatu wanashushwa na mabasi hapa opposite na tra ili waende kuhudhuria mkutano sijui wametolewa wapi
Nani amelazimishwa na hilo lijina lako lina akisi tabia yako ya kuwashwa washwa.Sometime wanalazimisha watu ili waende kwenye hii mikutano
Nalog off
Vijana wengi tuliajiliwa kwenye sekta binafsi hasa hizi NGO pesa zetu zipo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Mama sema neno moja tu ruhusu fao la kujitoa tukajiajili tukuze uchumi wa TaifaHuu ni uzi huru (sio rasmi)
Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote.
Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii.
Ikumbukwa kwamba vijana ndio kundi la maamuzi na inakadiriwa asilimia 60 ya watanzania ni vijana.
Moja ya Agenda kubwa inayotegemewa kujadiliwa ni ujumuishaji wa vijana katika uchumi ikiwemo ajira, fursa za biashara na kilimo, bila kusahau vijana na siasa jinsi gani vijana wanahusishwa katika maamuzi ya nchi na siasa kwa ujumla.
Vijana ndio taifa la leo na kesho.
Viongozi na Wasanii mbali mbali watakuwepo akiwemo Rayvany,Zuchu, Kala Jeremaya, Peter Msechu, TOT Band, Eliza Band. . nk
Tujumuike pamoja katika mkutano huu moja kwa moja kutoka uwanja wa Nyamagana Mwanza
Na mwisho nitaweka uchambuzi wangu binafsi hapa.
View attachment 1819104View attachment 1819107
Na sisi vijana wa Mwanza tumeshaliziki na ujinga wao.
Muziki ni catalyst au stimulant unachangamsha ubongo na akili.
Hoja gan ambayo wewe umeona ni ya ujinga? Tulia tuwape muda alafu punguza mihemko kwanza ata Rais hajaanza kuzungumka tayari umebanwa na haja kubwa.So issue ilikuwa sio kuwasilisha hoja za vijana ila kuchangamshwa ubongo? Na wamechangamshwa kweli ndio maana hoja zao ukawa ujinga tupu
Hoja gan ambayo wewe umeona ni ya ujinga? Tulia tuwape muda alafu punguza mihemko kwanza ata Rais hajaanza kuzungumka tayari umebanwa na haja kubwa.
Nilitaraji mkutano huu ufanyike Zanzibar ili kuleta uwiano wa Muungano.Huu ni uzi huru (sio rasmi)
Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote.
Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii.
Ikumbukwa kwamba vijana ndio kundi la maamuzi na inakadiriwa asilimia 60 ya watanzania ni vijana.
Moja ya Agenda kubwa inayotegemewa kujadiliwa ni ujumuishaji wa vijana katika uchumi ikiwemo ajira, fursa za biashara na kilimo, bila kusahau vijana na siasa jinsi gani vijana wanahusishwa katika maamuzi ya nchi na siasa kwa ujumla.
Vijana ndio taifa la leo na kesho.
Viongozi na Wasanii mbali mbali watakuwepo akiwemo Rayvany,Zuchu, Kala Jeremaya, Peter Msechu, TOT Band, Eliza Band. . nk
Tujumuike pamoja katika mkutano huu moja kwa moja kutoka uwanja wa Nyamagana Mwanza
Na mwisho nitaweka uchambuzi wangu binafsi hapa.
View attachment 1819104View attachment 1819107
Vijana wa mwanza wala siwalaumu ila ukweli ni kwamba hii show tayari ishatekwa na Chama na hakuna kijana asokua mwanachama anaweza penyeza hoja yake....yaani mnachujwa kwanza kabla ya yote
Kila fursa unayoiona kuna watu wananufaika na wengine wanaumia, kilio chako kinaweza kuwa ni furaha kwangu, unatakiwa kuishi kwa kusoma alama za nyakati.Nilikua sijagundua najishana na mtu wa aina gani. Basi mzee endeleeni na ajenda zenu vijana wa mwanza mtapewa hizo ajira za aina yoyote mnazotaka