Ndio hasa ilikua swali langu kwako. Why have you pre empted hio validation ya documents by implying that you do not believe that transfer has gone through because it costs a lot of money do so. What makes you think costs is the issue here? Did you give him the money to invest to know what he can and cannot do? That is why I do not understand your speculation in this. What is it Mkuu?
Dawakali,
Nafikiri nimekujibu swali lako kama hujaridhika basi sina njia nyingine ya kukusaidia.
Kama wewe unaamini kila wanachosema wanasiasa wetu, well, ni wewe na endelea kuamini.
Mimi na wengine ambao hatuamini wacha tufanye checks zote kuhakikisha kinachoongelewa hapa ni ukweli mtupu.
Huko kwingine unakoenda ni kupoteza muda wangu. Kama huoni cost ni issue kwenye ku transfer shares, nakushauri nenda BRELA kawaulize, transfer nyingi zimetupwa pale baada ya kuambiwa gharama yake. Kama wahusika kwenye case hii wana mapesa mengi wala hiyo sio hoja kwa mimi and in fact I don't care whether mtu ni tajiri au maskini lakini nina care kama anasema ukweli au hasemi ukweli.
Ondoa mambo ya mtu mmoja, hapa tunaongelea process, kama Dr. amefanya hiyo process inavyotakiwa, si ndio vizuri tukichunguza tutapata jibu?
Kunilazimisha mimi niamini wanachosema wanasiasa kweli unapoteza muda wako bure!