Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 983
- 207
Mwaga data za kutosha kusupport uliyosema mkuu! Kanunuliwaje, ki vipi, na nani, etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Recta,
Kauli inayosemwa ilikuwa ya kibaguzi ni ile ya "wengine wana passport tatu tatu, sisi ni wazawa/wazalendo hatuna kwa kwenda na tutafia hapa hapa" Sija quote exactly ila ilikuwa karibu na hiyo.
Hivi Dr. Hayajui ya Ballali? Mweusi mwenzetu yule na katuibia na kuishia visiwani huko.
Hayajui ya Chenge, mweusi mwenzetu huyo na visenti vyake kwenye visiwa.
Sidhani kama Dr. ana ushahidi kwamba Rostam ana passports tatu, kilikuwa kijembe cha kisiasa ambacho kinalenga kwenye ubaguzi.
Ingefurahisha zaidi kama ungeandika hivi: Mimi Sarah Mossi ni msafi.....blah blah.............
Sarah,No comments! nadhani mmeelewa kwamba sarah ni msafi. Hiyo ni ajenda nilipenda ieleweke.
Kama Rostam anaoga maji machafu Mwakyembe anaishi kwenye dampo!CCM ni dampo, ni jalala, anayeishi humo hani-convince kuwa naye ni msafi hata kama atasema msafi hata kama nitamwona msafi, lakini yuko sehemu chafu, anakula, anaongea, anapanga mipango na hawa wachafu! Huyu naye by no means ni mchafu!Tusafishe Tanzania
Haya chadema mmepewa msemo wa bure hapa! Hizi lugha zikiongelewa mara kwa mara zitawatoa watu nyumbani sikuya kupiga kura wakiwa na hasira. mambo ya "yes we can " huku bado sana hivyo