Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

Hivi mzima kweli wewe yaani huoni kama majukwaa katika picha uliyopost unayodai imewekwa na siraji mvungi na hiyo iliyopostiwa na mtoa mada ni tofauti. Muda mwingine tumia akili hata kidogo, najua uko kazini kwamba umetumwa ufiche ukweli ila sio kwa staili hii. Wenye akili tunajua na zaidi ya yote counter strategy zenu sometime zinawadhalilisha sana.

Tambua utu wako acha kutumika. Kwa Katavi CCM imewaweza na aibu imewapata.

Soma uelewe mkuu. Mimi sijasema hiyo picha imewekwa na Siraji Mvungi. Hiyo picha ni ya kwangu. Habari za Siraji Mvungi nimeshuhudia mwenyewe kupitia ITV. Mbona vijana wa CCM mnakuwa km vilaza? Hizo propaganda zenu ni nyepesi sana
 
Haya angalia MATUKIO - SIASA: LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA
 
Propaganda Hilo mkutano umefana sana hats TV huangalii
11951752_116851005334620_501639879507858553_n.jpg
 
Haha ha ha ha ha! CCM wanaweweseka mpaka mtu ambaye yuko Pembeni ndiye anaona aibu!!!

Kweli Khalid Chokaraa aliimba wimbo wenye ujumbe mzito! Kuwa kuachwa ni shughuli pevu na sasa CCM imeachwa!

Ila bado watanzania hatuachi kuwa na LOWASSA!
https://youtu.be/OLyzuF250io
 
safari ya kwenda kwenye mkutano wa lowassa inaanza

cn_ihsiwsaar4is.jpg

umati wa watu ukishangaa helkopita ya lowasa

cn_osntwwaanjpc.jpg

umati ukiwa uwanjani kumshuudia lowassa na team yake...

cn_mgarw8ae1ue1.jpg

mkutano ukiendelea na mafuriko yake...

cn_mgamw8aakumi.jpg

lowassa akiwa jukwaani akitema cheche....

cn_ihsbwoaa2xqp.jpg

lowassa akiwa mapumziko baada ya hotuba dakika 8 kisha akaendelea ....

cn_ihsuwoaawn_r.jpg

uwanja umetema haijawai tokea

cn_ihxuwgaal1oa.jpg

laana ya slaa inawatesa ....hawajaweza kuvunja rekodi ya jembe magufuli

cn_ajqkwgae5qky.jpg

we jamaa acha uongo,unatuletea picha za wenyevit wa mitaa
 
Soma uelewe mkuu. Mimi sijasema hiyo picha imewekwa na Siraji Mvungi. Hiyo picha ni ya kwangu. Habari za Siraji Mvungi nimeshuhudia mwenyewe kupitia ITV. Mbona vijana wa CCM mnakuwa km vilaza? Hizo propaganda zenu ni nyepesi sana

Ndio hapo ninapokwambia uache uchizi na upost vitu vinavyoeleweka. Hiyo picha uliyopost na picha aliyopost mtoa mada unaona majukwaaa yanafanana?
 
Matumbo UONGO NI DHAMBI KWANINI UMEAMUA KUTENDA DHAMBI YA UONGO SABABU YA SIASA? TENDA HAKI MWENYEZI MUNGU ATAKUPENDA KULIKO KUPENDWA NA HAO UNAOWAFURAHISHA NA UKAMCHUKIZA MUNGU.
 
Mpaka mwisho wa dunia haitatokea.Ashukuriwe Mungu kuwa kazi ya kuwahadaa Watanzania itawatafuna.Mafuriko ya Lowassa yameoneshwa ITV na chanel ile yenu Na niabu kubwa mno.Ni zaid ya mafuriko.Mmekuja kwa njia moja mtatoweka kwa njia saba.Haki ya mnyonge na mhitaji itapatikana tu.
 
hw he he heeeee ccm wamehamia kulinganisha mafuriko kwa picha shaaaah kumbe mnaumia sana eeeh.... no wonder boss wenu mlimuambia ni photoshop
 
Back
Top Bottom