Mkutano wa marais wa nchi za maziwa makuu: Joyce Banda hakualikwa?

Mkuu true Soldier hapo ni Major General Kagame, and not just a soldier, but a leader too! wengine ni watawala tu, kwa mbaali unaweza kumwona Mu7 ki u soldier!
nNi kweli ma soldiers wametokea kuwa na mafanikio ya kiuongozi kihistoria kama unavyotaka ku imply?
 
nNi kweli ma soldiers wametokea kuwa na mafanikio ya kiuongozi kihistoria kama unavyotaka ku imply?

Kaka yangu jmushi1, sina maana kwamba wanajeshi wametokea kuwa na mafanikio kiuongozi, kwani nyerere hakuwa mwanajeshi kama nipo sahihi, Kwame Nkrumah hakuwa mwanajeshi kama nipo sahihi pia, Sir Kitumile Masire, Festus Mogae wote wa Botswana hawakuwa wanajeshi lakini walipata mafanikio mazuri kiuongozi!
Japo Jeshini ndipo watu wanapopata kufundishwa mengi, ikiwepo suala la nidhamu ya uongozi, na mimi pia nimepitia huko naelewa, japo riadha ndiyo iliyonipeleka huko lakini nimepata idea!
Kwa upande wa Kagame, ile ni kipaji cha uongozi cha kutoka moyoni kwake au cha kuzaliwa nacho waswahili wanavyosema. kama unakumbuka wakati ameingia madarakani, alipochukua madaraka kutoka kwa Paster Bizimungu, Rwanda ilikuwa nchi maskini, watu wake walikuwa maskini sana. Alichokifanya cha kwanza akauza magari yote ya kifahari ya serikali ili kuinua uchumi wa watu wake. kwetu hapa Tanzania hata mesenja ana gari, lakini Rwanda hawa mnaowaita area commissioners hawana magari, wakurugenzi wa majimbo hawana magari, mfano siku kuna semina yanakodishwa coster kutoka kwa watu binafsi, baada ya siku mbili au siku tano semina imeisha kila moja yupo ofisini kwake.
Suala la kuuza magari na kuwapa ajira zingine pia imemsaidia Kagame kwenye cost implication, kwani hakuna gharama za kila siku za kumlipa dereva, wala mafuta ya gari ya kila siku.
Leo hii tunapozungumzia suala la development sustainability, Rwanda imeipita Tanzania mara 125!
Kwahiyo issue siyo Kiongozi kuwa mwanajeshi, bali Kiongozi anayejua wajibu wake na kujitambua kuwa anaongoza watu!
Nchi hii viongozi wanasahau kuwa wananchi wanawatazama wao kwa kila jambo, iwe baya au zuri!
 
Last edited by a moderator:
hivi kagame amepata mafanikio gani rwanda ukiondoa kuwauwa wapinzani wake kisiasa
 
hivi kagame amepata mafanikio gani rwanda ukiondoa kuwauwa wapinzani wake kisiasa

mafanikio yake n ka ifuatavyo
1.ameboresha huduma za afya na ndo mana madokta walioacka kaz kutokana na mgomo hapa tz wanakimbilia huko ingawa tz inawabania
2.ameboresha makazi ya watu mfano amefanikiwa kuondoa nyumba za nyac nchi nzima
3.highway road zote n za lami,nchi nzima,kwa hlo mi ni shahid cz kuna project nlkuwa nafanya kule,nmezunguka almost nchi yote
4.anaweka effort kubwa kwny masomo ya sayansi thats y chuo kikubwa africa nzima cha mambo ya computer kinatarajiwa kufunguliwa kigal
5.auditing iliyofanyika kwny bajet yake ya mwaka jana,imeoneka only $11mill ndo zmetumika vibaya which z much better compared to us,c trillions znapotea kwny budget zetu
6.amefanikiwa kuleta aman nchin kwake
7.sa hv kigali ndo mji uliojengwa kwa mpangilio+usafi kusin mwa jangwa la sahara,ilipewa tuzo na un-habitat
8.kigali ndo mji unaoweza kutembea hata uck wa manane bila wacwac wwte wa ujambaz je dar unaeza fanya hvo
vp bdo unataka maendeleo yake mengine!
 
Kwa kweli hilo sijui. Lakini anaamini we should and could have a better leadership.

inategemea na sera za wapinzan lkn hzi siasa zetu za kuanza kuchokonoana huyu mchaga huyu msukuma,hzo huwa anawatuma vijana wake wanawondoa wapinzan barabaran mkuu
 
Back
Top Bottom