Mkutano wa makamu wa rais Geita aibu tupu

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya magereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa sekondari waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana CCM wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa CCM? Nawasilisha.
 
makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini geita katika viwanja vya mgaereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa secondary waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana ccm wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa ccm? Nawasilisha.

wasome alama za nyakati, lakini walivyo wala hawataziona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya mgaereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa secondary waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana CCM wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa CCM? Nawasilisha.

Leo siku ya kazi na shule bana!! hata hao wanafunzi hawakutakiwa wawe hapo....mikutano weekend, unless kama kuna kitu cha maana sana!!!
 
kesho utasikia wanasema 'kuna watu wanataka kupindua serikali'
 
AIBU YAO WENYEWE! "bado wanasomba watu kwa malory?" shame on you! Thithiem hamkubaliku SUKUMA LAND, Thanx bana mwanza mwabeja!
 
Leo siku ya kazi na shule bana!! hata hao wanafunzi hawakutakiwa wawe hapo....mikutano weekend, unless kama kuna kitu cha maana sana!!!

sawa, ni siku ya kazi, nakubaliana na wewe, lakini tujiulize mbn chadema walikua wakiandaa maandamano siku za kazi na walikua wakipata wafuasi wengi tuu wa kutosha?? Sembuse mkutano wa hadhara jamani?? There must be something wrong.
 
Kwa hiyo, basi CDM ndio chama tawala...hahahaha chama tawala cha kufikirika.
 
Masikini na wanae, tajiri na mali zake. Sasa ccm hawajui kwa nini watanzania masikini afu unataka wakasikilize story zitakazowafanya waishi kwa kutegemea ndoto zisizo tarajiwa kutokea chini ya ccm. Thats how tanzanians have to behave,tuache unafiki tuwe wakweli kwa nafsi zetu wenyewe.
 
Kwa hiyo, basi CDM ndio chama tawala...hahahaha chama tawala cha kufikirika.

that's it mkuu,,,, chadema ndo chama tawala,,, kama makamu wa rais anapata watu wachache, lakini wabunge wachache tu wa chadema wanapata halaiki ya watu, basi we can conclude that chadema is the rulling party,,,,
 
je ilikuwa ziara ya kichama au kiserikali?
je hao wanafunzi si watanzania?
HONGERA MAKAMU WA RAIS KUFANYA ZIARA MWANZA
 
Wataanza kusema chadema inakataza watu kusikiliza viongozi na "huu ni uhaini"
 
Kwa hiyo, basi CDM ndio chama tawala...hahahaha chama tawala cha kufikirika.

Penye red, umehitimisha vibaya.

Si kila chama kinachokubalika na wengi ndiyo chama tawala na si kila chama tawala kinakubalika na wengi.

Ni kama vile, si kila rais kaingia madarakani kwa ushindi wa wingi wa kura halali zilizopigwa.
 
Hakuna mtu ana akili zake anaweza kupoteza muda wake kwenda kumsikiliza Balali/Bilali.

Hivyo ni vyeo ambavyo watu upewa bila kujulikana vigezo, ni moja ya nafasi ambayo ni bora ifutwe maana ina bebesha watanzania mzigo husio wa lazima
 
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya mgaereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa secondary waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana CCM wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa CCM? Nawasilisha.

ninavyo fahamu mimi makamu wa rais alikuwa anafungua maabara katika shule za sekondari kwa hiyo sidhani kama wanafunzi walibebwa na magari bali walikuwa katika maeneo ya shuleni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom