Mkutano wa madiwani wa CHADEMA - Moshi Mjini kesho

MARUMARU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
250
53
Kwa wakazi wa Moshi na maeneo ya jirani karibu kwenye mkutano wa hadhara utakao fanyanyika eneo la stendi kuu ya Moshi, madiwani wote wa CHADEMA na meya wa manispaa ya Moshi Mhe. Jafari ataongoza jahazi,
 
Nawatakia kila la heri katika mkutano huo.Wanamoshi washajikomboa wengine mwangoja nini?hamjaona tu matatizo yanavyopandana?
Watanzania igeni mfano wa Moshi na Arusha!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom