Mkutano wa Ma-RPC Dodoma...NI mbinu chafu za CCM kupata usindi wa kishindo??!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna huu mkutano wa wakuu wote wa polisi wa mikoa Tanzania unaoanza leo mjini Dodoma. Habari zinasema kuwa mkutani huo ni mkakati wa serikali kujipanga kwa ajili kudhibiti wanachoita wao ulinzi na usalama wakati wa uchaguzi mkuu hapo mwakani...Kwa mtazamo wangu naona wazi kuwa ni mbinu chafu za CCM kujipanga kutumia maguvu kupata huo wanaoita wenyewe ushindi wa kishindo... Wana-JF mnalionaje hili??
 
Ngunguli Matayarishoni[siyo Nguli]!...All in all, kama wananchi wote kwa ujumla wangekuwa waelewa na uwezo wa kung'amua kinachoendelea juu ya hatima ya nchi yao, wangeenda vituoni kimya kabisa, bila kumdhuru hata sisimizi, na wangepiga kura zao wanazoamini zitawakomboa, na taratiibu na kurudi makwao na siri yao moyoni....Hata hao migambo, sijui ngunguli wangekosa cha kufanya na hayo magobore na mabunduki kama ya Afghanistan!...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom