Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

Sio inachekesha tu bali inasikitisha pia na vituko vinavyofanywa na watu waelewa na wanaoitwa wasomi. Wengine wana hadhi ya ukatibu uenezi wa chama, eti anasema mbele ya umma wa Watanzania wa leo 2015 kuwa Mbowe amenunuliwa na Edo eti ukawa imepigwa mnada. Huo mnada umetangazwa lini na kufanyika wapi, dalali alikuwa nani? akaunti ipi iliingizwa hizo pesa na ni benki gani? tukiwaita weu wanalalamika, huu kama sio weu ni nini?? Single zao zote zimechuja, walianza na makapi, wakaja na oil chafu sasa eti watu wananunuliwa....!! Kauli za mfa maji.

Hahaha@kyamkwikwi
 
Sijabisha: Hii sasa sifa...

Sijakataa: Sifa inaua...

Ila, wote hao wamejiandikisha kupiga kura? Watajitokeza kupiga kura?
 
gesi ilijulikana ipo toka enzi za mkoloni mjerumani, kwa hiyo fisadi kama yy na mafisadi wenzake wafanyabiashara wanaompa pesa wanajua hilo. ikulu sio danguro la wafanyabiashara, ataipata aibu ya mwaka

Lowasa alianza harakati kabla hata gesi haijagundulika
 
Very interesting and relaxing!!!
Tunasubiri Arusha na Mwanza,Hakika CCM(NAPE)(gazeti uhuru) Watajuta kuwaita walioandamana dar kuwa ni vibaka,Haya Mbeya nao..............,Arusha>>>>>>>>>>>>> Mwanza je!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nguvu ya umma huwezi zuia!!

Nape huwa anaropoka bila kujua matokeo...Mgeja kamwita vuvuzela!
 
...aahaahah hii picha imenifurahisha sana, hapa ukiangalia kwa mtazamo wa mbali unaweza kusema kijana anakumbushia enzi zake za UDJ ahahaah...Wana UKAWA msije mkakasirika natania tu hapa...

Anyway inapendeza sana kuona vijana wengi namna hiyo...Swali tu, Je umati huu wote wanatambua kikamilifu kwamba CHADEMA/UKAWA/CCM zote zinasimama kwenye maswala gani ili wafanye maamuzi sahihi ikifika siku ya uchaguzi?! Au wanafuata tu Upepo??! Vilevile wamejiandikisha kupiga kura?? Je hawatobadirika dakika za mwisho??

Mwisho, Lowassa aliongea kwa dakika ngapi vile na kueleweka na wananchi??! Ile verse ya Mchakamchaka aliikumbuka tena Mbeya ahahaaah Siasa za Tanzania tabu tupu jamani aahahaahah

siasa...za tanzania zimepiga hatua kubwa sana.
 
Back
Top Bottom