Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

Mwamko wa watanzania sasa hakuna wa kuweza kuusimamisha tena,mimi nadhani wanaojaribu kumpaka matope EL waache kwani ndo wanazidi kimpaisha,katika maandiko matakatifu mfalme Bakaki alipowaona wana wa.Israel wingi wake alimwita Balaamu aje awalaani Israel kinyume chake akawabariki,ninaiona hatari ya watu wanaojaribu kumsema vibaya ndivyo wanavyowasha moto ili EL apendwe zaidi
 
Umeeleza vizuri sana, mwenye kuelewa na aelewe!
 
Imekuwa ndo msemo wa siku hizi kutaka kutuaminisha kuwa Eddo anatumia pesa, anatumia mabillion kuwanunu watu.-

Hili la Mbeya sio jambo dogo hata, yaana marufuku ya RPC inakanyagwa kabisa mchana kweupe. Askari wanapangwa na kupewa maagizo ya kuhakikisha hakuna maandamano lakini askari wanakaidi amri ya RPC na kuamua kuyasindikiza na kuyalinda!!! Huu kama sio uasi wa kisirisiri ni kitu gani?

Amri ya RPC inawekwa pembeni na maandamano ya ujio wa UKAWA yanapewa heshima na askari, hii haikubaliki. RPC huyu ataaminika vipi mbele ya umma na jamii? RPC huyu akitwambia ametuimarishia ulinzi nani atakayemwamini kama leo amri yake inakuwa kama tope tu?? RPC, RPC, RPC??? Hii sio kabisa.

Au ndo tuseme Eddo tayari amemlambisha na huyu RPC na askari wote wa Mbeya Billion 10.

Na juzjuz tumesikia ofisa wa Tume ya uchaguzi anajisahau na kumwita Eddo mhesh. Rais... ahahahaaa!!! Cjui huyu naye alikula bil. nfapi.

Mbowe kanunuliwa, Chadema imenunuliwa, UKAWA imenunuliwa, wenyeviti wa CCM na wanachama, makatibu na viongozi wamenunuliwa, TAKUKURU imenunuliwa isimkamate huyu anayetoa rushwa..... hii ni hatari sana!! Nape amejaribu kugawa mlungula amedakwa haraka sana, kama sio kutetewa na mamlaka ya juu, saa hizi angekuwa anakalia ndoo. Kwa nini Eddo anagawa pesa kwa watu wote hawa na anaangaliwa tu utafikiri ni malaika, la hii sio hata kidogo.

Ebu wenye taarifa ni namna gani Eddo ananunua taasisi na watu woooote hawa, naomba mnijuze huyu RPC wa Mbeya na askari wake wameibuka na kitita cha Bil. ngapi hiyo jana??

KARIBU SANA

Cc: kwenu mapepe: Nape,faizafoxy, ritz, Mzee Mwanakijiji.....
 
Hiki kibibi kweli hamnazo!, siku zake zenyewe hapa duniani zinahesabika, badala kukuaa kujitahidi kwenye ibada kinahangaika na siasa!!! Shame on her, kalivyo kama kavuta bange
Fisiem ukiwa katika ubora wako...
haya nenda lumumba ukachukue 7500/= yako maana ndo ujira wako baada ya hii kazi heavy uliyoifanya..
 
Hiki kibibi kweli hamnazo!, siku zake zenyewe hapa duniani zinahesabika, badala kukuaa kujitahidi kwenye ibada kinahangaika na siasa!!! Shame on her, kalivyo kama kavuta bange

Kuwa na adabu wewe,kumbuka hata mama yako atakuwa bibi muda si mrefu!
 
Jamani acheni propaganda hivi ni pesa kiasi gani watu hawa wanaweza kupewa ni nani mwenye pesa kiasi hicho Tanzania bila ccm inawezekana kabisa.
 
Hilo gazeti lijiandae kupewa onyo au kufunguiwakwani litaambiwa kuwa limetoa kichwa cha habarichenye kuhamasisha uvunjifu wa amani na kuwachonganishapolisi na wananchi....we subiri tu, ila pona pona yao ni kama RPC anajielewa tu..ila akiwa kama RPC flani mhariri lokapu inamnyemelea.
MMGL1352.jpg

...aahaahah hii picha imenifurahisha sana, hapa ukiangalia kwa mtazamo wa mbali unaweza kusema kijana anakumbushia enzi zake za UDJ ahahaah...Wana UKAWA msije mkakasirika natania tu hapa...

Anyway inapendeza sana kuona vijana wengi namna hiyo...Swali tu, Je umati huu wote wanatambua kikamilifu kwamba CHADEMA/UKAWA/CCM zote zinasimama kwenye maswala gani ili wafanye maamuzi sahihi ikifika siku ya uchaguzi?! Au wanafuata tu Upepo??! Vilevile wamejiandikisha kupiga kura?? Je hawatobadirika dakika za mwisho??

Mwisho, Lowassa aliongea kwa dakika ngapi vile na kueleweka na wananchi??! Ile verse ya Mchakamchaka aliikumbuka tena Mbeya ahahaaah Siasa za Tanzania tabu tupu jamani aahahaahah
 
Kwa Askari Polisi yeyote Anayeyajua Majukumu na Wajibu Wake Hawezi Tenda Kazi Kwa Mazoea. Kazi ya polisi Si Kuanzisha Fujo Pasipo na

Sababu za Kimsingi. Polisi Wanafurahia Kazi yao Pale Inapowa Mihadhara na Mikutano Yoyote Inapofanyika na Kuisha Kwa Khali ya utulivu na Amani.

Kwa Khali Ilivyo Sasa Kuweza Kuzuia Maandamano ya Mh. Lowassa Ni Kitu Ambacho Hakiwezekani Si Kwa Sababu Polisi Hawana Weledi Bali ni Ile Idadi Kubwa ya Wapenzi na Washahabaki wa Mh. Lowassa.

Haiweekani Idadi Kubwa ya Watu Tuliyoiona Kwenye Mikusanyiko ya ( Dar & Mbeya City) Kujisogeza Uwanjani Mtu Mmoja Mmoja na Hilo Ndilo Litasababisha Shida zaidi ya Maandamano.

Polisi Wanafanya Kazi Zao Sio Kwa Mazoea Bali Kulingana na Khali Halisi ya Kiusalama Kwa Muda Husika. Tuna Kila Sababu ya

Kuwapongeza RPC Mbeya na Wapiganaji wake Kwa Kuyatimiza Majukumu yake Kwa Weledi Mkubwa Kama tulivyoshuhudia Kwenye Media.

Yale Yaliyotokea Iringa Kwa Marehemu Mwangosi Sio Polisi Wote Walifurahia Kile Kitendo na Ndio Maana Kwa Sasa Wako Makini, na Hawataki Kuwa sehemu ya Historia ya Kujutia.

Kumbuka Polisi Tunaishi Nao na Familia Zao Zinashriki Katika Mambo Haya ya Harakati za Kisiasa , Hivyo Wako Makini Na Maagizo Yatokayo Juu.

Polisi Anapaswa Kuzitii na Kuzifuata Amri Halali Kwa Mjibu Wa Police General Order (PGO), Lakini Polisi Huyo Huyo Anajua Kuna Amri

Zingine Sio Halali Ambazo Kimsingi Akizitekeleza na Ikadhibitika Sio Amri Halali na Imesababisha Madhara Basi Polisi Aliyetekelea Amri Hiyo atakuwa held Accountable for not Complying...
 
Topic:-RPC Mbeya na Askari wake walikula Billion ngapi za Eddo hadi wakasahau marufuku!!

Imekuwa ndo msemo wa siku hizi kutaka kutuaminisha kuwa Eddo anatumia pesa, anatumia mabillion kuwanunu watu.-

Hili la Mbeya sio jambo dogo hata, yaana marufuku ya RPC inakanyagwa kabisa mchana kweupe. Askari wanapangwa na kupewa maagizo ya kuhakikisha hakuna maandamano lakini askari wanakaidi amri ya RPC na kuamua kuyasindikiza na kuyalinda!!! Huu kama sio uasi wa kisirisiri ni kitu gani?

Amri ya RPC inawekwa pembeni na maandamano ya ujio wa UKAWA yanapewa heshima na askari, hii haikubaliki. RPC huyu ataaminika vipi mbele ya umma na jamii? RPC huyu akitwambia ametuimarishia ulinzi nani atakayemwamini kama leo amri yake inakuwa kama tope tu?? RPC, RPC, RPC??? Hii sio kabisa.

Au ndo tuseme Eddo tayari amemlambisha na huyu RPC na askari wote wa Mbeya Billion 10.

Na juzjuz tumesikia ofisa wa Tume ya uchaguzi anajisahau na kumwita Eddo mhesh. Rais... ahahahaaa!!! Cjui huyu naye alikula bil. nfapi.

Mbowe kanunuliwa, Chadema imenunuliwa, UKAWA imenunuliwa, wenyeviti wa CCM na wanachama, makatibu na viongozi wamenunuliwa, TAKUKURU imenunuliwa isimkamate huyu anayetoa rushwa..... hii ni hatari sana!! Nape amejaribu kugawa mlungula amedakwa haraka sana, kama sio kutetewa na mamlaka ya juu, saa hizi angekuwa anakalia ndoo. Kwa nini Eddo anagawa pesa kwa watu wote hawa na anaangaliwa tu utafikiri ni malaika, la hii sio hata kidogo.

Ebu wenye taarifa ni namna gani Eddo ananunua taasisi na watu woooote hawa, naomba mnijuze huyu RPC wa Mbeya na askari wake wameibuka na kitita cha Bil. ngapi hiyo jana??

KARIBU SANA

Cc: kwenu mapepe: Nape,faizafoxy, ritz, Mzee Mwanakijiji.....

ujue YESU ANARUDI JIANDAE KUIONDOA CCM
 
utaanbiwa na wewe umenunuliwa Kokolo ukavulie Sangara hapo Kyamkwikwi.

Subiri waje watunza hela wake.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe ikitokea watu 300 mnatembea kuelekea sehemu moja bila hata kuwasiliana ni maandamano.

Waambieni polisi wazuie maandamano ya watu wanaoenda kanisani hapo kesho
 
Tuachane na majungu twende mbele, mi kwamtazamo wangu lowassa hatumie rushwa na mapenzi ya watu, na pia kama watu wamelala mahali wakimsubiria raisi wao kwa amani police itawezaje kuwasambalatisha na pia police wanaujua ukweli maana freedom is coming tomorrow RPC na jeshi la police hawana kosa lakualinda wananchi
 
Back
Top Bottom