Mkutano wa Kinana Mbeya aibu tupu

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,511
2,034
Nimeona mkutano wa kinana hapa mbeya kwenye uwanja wa rwanda nzovwe ni aibu sana.
Idadi ya watu waliopo ni sawa na idadi ya polisi wanaoulinda huu mkutano.
Mkutano huu umetangazwa wiki nzima ila wana inchi wanaojitambua wa mbeya chini ya raisi wao sugu wameususia na kuyakataa magamba,.
Hili ni pigo takatifu kwa magamba hivo wajue kua mbeya sio watu wa kuiendekeza mijangili,mibakaji vitoto na miuza madawa ya kulevya hayo ni maneno ya wanambeya yamesikika vinywani mwao,..
ONYO
CCM JARIBUNI KWINGINE APA HAMPAWEZI MBEYA
 
1.+Katibu+Mkuu+wa+CCM,+Abdulrahman+Kinana+akihutubia+mkutano+wa+hadhara+katika+Uwanja+wa+Maombi,+Kata+ya+Mbalizi,+Mbeya+Vijijini.jpg
 
Namimi nimeupita pale uwanja wa ccm kabla hujafika ilomba ukitokea zambia.

Ukweli watu wachache ukilinganisha na uzito wa ugeni wenyewe, ikuona hata umuhimu wa kupiga breki nikapita zangu.
 
Mkuu hiyo mchakachuo uwanjani twanda nzovwe hakuna paa hiyo picha ya mchakachuo wadanganye wazaramo wenzako bagamoyo apo sio rwanda nzovwe, aibu ya leo ni ya mwaka
 
Kinana hatasahau leo apa mbeya kwa nguvu aliotumia na idadi ya wahuzuliaji hapana ccm wamefanyiwa hujuma sio bure
Namimi nimeupita pale uwanja wa ccm kabla hujafika ilomba ukitokea zambia.

Ukweli watu wachache ukilinganisha na uzito wa ugeni wenyewe, ikuona hata umuhimu wa kupiga breki nikapita zangu.
 
Kinana hatasahau leo apa mbeya kwa nguvu aliotumia na idadi ya wahuzuliaji hapana ccm wamefanyiwa hujuma sio bure

Mkuu mbeya mjini wanajitambua sana na wanafaham mchawi wa maendeleo yao ni ccm sasa wakasikilize nini iwapo

50yrs wanahubiri wasichokiamini wala kukitenda.
 
Nimeona mkutano wa kinana hapa mbeya kwenye uwanja wa rwanda nzovwe ni aibu sana.
Idadi ya watu waliopo ni sawa na idadi ya polisi wanaoulinda huu mkutano.
Mkutano huu umetangazwa wiki nzima ila wana inchi wanaojitambua wa mbeya chini ya raisi wao sugu wameususia na kuyakataa magamba,.
Hili ni pigo takatifu kwa magamba hivo wajue kua mbeya sio watu wa kuiendekeza mijangili,mibakaji vitoto na miuza madawa ya kulevya hayo ni maneno ya wanambeya yamesikika vinywani mwao,..
ONYO
CCM JARIBUNI KWINGINE APA HAMPAWEZI MBEYA

HA! HA! HA! HA! kamanda UMEYAMALIZA MAGAMBA VIBAYA MNO !
 
Kweli mkuu, Sasa kina kupooza machungu mkutano mwingine akafanyie msoga au kigoma kaskazini

Back
Top Bottom