Mkutano wa Kimataifa wa Madini: Waziri mwenyeji Biteko anaongea Kiswahili bila mkalimani!

Wageni walikuwa wengi, jitahidi kufuatilia taarifa za habari ili uje nini kilitokea. Unakumbuka kilichotokea Zimbabwe mpaka ikabidi rais wa Zimbabwe awe mkalimani!
Mimi sijasikiliza hotuba hivyo unaponihukumu hunitendei haki. Niliongelea kulingana na uzoefu wangu kuwa wakalimani huandaliwa siyo robots basi. Nisamehe kama sikuelewa mada.
 
Back
Top Bottom