Mkutano wa Jangwani kesho: CCM yawaandaa mamluki kurudisha kadi za CHADEMA

Njia pekee ya kuiangamiza CCM kwa kutumia mafuta yao ni kwa watu kuendelea na shughuli zao kesho. Ninaamini kabisa wasipopata watu INTERNAL FIGHTING itazidi na hivyo kuendelea kujimaliza wenyewe. Hii si game ya nani kapata watu wengi bali ni game ya kubadili watu mtazamo kuhusu hali ya nchi.

Kama CCM kwa kufanya mkutano wao kesho basi ufisadi utakuwa umeisha, mfumuko wa bei utakuwa umeisha, maisha magumu yatakuwa yameisha, ukosefu wa ajira utakuwa umeisha, matatizo ya afya yatakuwa yameisha, na kila jambo baya linalowachukiza watanzania litakuwa limeisha basi ni dhahiri CCM itakuwa imefunika kwelikweli. Anything short of that ni waste of time and resources.

PARTY IN POWER ALWAYS RESPOND WITH ACTIONS AND TALKING AND SHOW UP. UKIONA VIONGOZI WALIOMADARAKANI WANAANZA KUJIBU HOJA ZA WAPINZANI KWA KUFANYA KILE WAPINZANI WALICHOKIFANYA UJUE CHAMA HICHO KINAKARIBIA KUWA CHAMA CHA UPINZANI. CHAMA TAWALA HUJIBU HOJA KWA MISWADA YA KUBORESHA HALI YA MAISHA NA ACTION ON GROUND.
 
hvi ccm ndio wanataka kudhihirisha wamechoka kifikira kiasi cha kuwa mabingwa wa kuiga strategy za chadema,naomba niwe mkweli wananchi wa tanzania wameamka,hawpo tayari kupotoshwa kwa matamko wakati wao maisha yao bado duni,wajanja wachache wanakula nchi,wameigeuza shamba la bibi.Hivi CCM walishawahi kujiuliza(au hawautaki ukweli)kwann wananchi wamekua wakijazana kwenye mikutano ya chadema kwa wingi?, mi nafikri hakna njia ya mkato kwa ccm kutafta mapenzi ya zamani kwa wananchi zaidi ya kuboresha maisha yao,
 
wale mamluki waliopewa hela na ccm kwa ajili ya kurudisha kadi za chadema nafikiri mmewaona
 
Back
Top Bottom