MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 714
- 1,137
Jana ilikuwa ni siku njema sana kwa baadhi yetu tuliozoea kuona mijadala.
Ilikuwa siku ambayo tulii miss sana kwa kitambo kuangalia masuala makubwa yanayohusu taifa na mustakali wa taifa letu.
Yapata miaka mitani sasa tangu tupate flavour kama ya jana.
Kulikuwa na mjadala mkubwa na muhimu kwa ujenzi wa nchi yetu
Kila palipo na mijadala huru mara nyingi suluhu ya matatizo hupatikana.
Nafikiri hata serikali sasa itakuwa imepata fundisho kwa kilicho tokea jana.
Rais Magufuli alikalia kiti akawa kama Spika wa Bunge la Jamhuri. Akapata mawazo toka kwa wabunge wafanya biashara toka kila wilaya.
Jana nilikumbuka mjadala wa wizi wa mabilioni ya ESCROW ambapo mama Anna Makinda aliendesha kikao mpaka usiku wa manane.
Jana kila mtu hakupenda kunanduka toka kwenye runinga yake. Tulikuwa tunajikumbusha utamaduni tulio uzoea hapo nyuma.
Jana ilikuwa siku njema sana kwa wengi wetu tuliozoea mijadala.
Hata humu JF mwelekeo wa mijadala umebadilika sana kwa sababu ya mjadala wa jana.