Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Fuatilia historia yake uone,hawataki mtu ambaye aliyezaliwa na kukulia zanzibar 100% ,Dr Shein alitolewa mfukoni mwa Mkapa!! Awali alikuwa hajawai kufanya/kujishughulisha na siasa!!
Wabongo wazushi sana walai,
1995 - 2000 alikuwa naibu waziri wa afya na mbunge wa kuteuliwa na Dr. Salmin Amour
2000-2001 alishinda uchaguzi na kuwa mbunge na kuteuliwa kuwa waziri ofisi ya rais, katiba na mahusiano chini ya rais Karume
2001 ndio kuteuliwa kuwa makamu wa rais JMT
Mtu hasa wa kumshukuru ni Dr. Salmin Amour maana baada ya kushindwa ubunge 1995 dr Salmin alimteua kuwa mbunge na kumpa unaibu waziri.
Vijana someni historia
 
1997 ndio alitolewa mfukoni mwa Mkapa ,Soma historia acha kupotosha na Historia za Ku edit Wikipedia.
 
1997 kivip maana 1997 alikuwa mbunge wa kuteuliwa zanzibar, Jana kama ulisikia hotuba yake kwenye mkutano mkuu wa CCM mtu wa kwanza kumshukuru alikuwa Dr. Salmin Amour tena akaongezea kusema kwamba aliibiwa kura uchaguzi wa 1995 lakini Dr. Salmin akamteua ubunge.
Nenda youtube tafuta hotuba ya Dr. Shein mkutano mkuu wa CCM
 
Kuteuliwa Ubunge na Komandoo haimaanishi ndio aliomtoa,Muhongo aliteuliwa na Dr Kikwete ,Leo yupo wapi? Magesa Mulongo aliteuliwa na Kikwete leo yupo wapi? Mie nazungumzia aliyempa Maisha ni Mkapa!! Ubunge ukiisha unavuta kiinua mgongo basi ukikinywea pombe imekula kwako lakini kwa ngazi aliyompa mkapa anakula maisha mpaka kifo.
 
Wewe una matatizo ya kuelewa mtu alikuwa mtumishi wa wizara ya afya akashawishiwa na dr Salmin agombee ubunge, akagombea lakini akashindwa.
Bado Dr.Salmin akaona haitoshi akamteua kuwa mbunge kwa nafasi zake 5 za uteuzi.
Akamteua na kumpa unaibu waziri kwa miaka 5.
Sasa Mkapa angeweza kumpa umakamu wa rais akiwa mfanyakazi wa wizara na asiye na uzoefu wowote wa siasa?
 
Wewe ndio uelewi na una matatizo ya kuelewa kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya TUMBO mbele!!! Ubunge hauna kiinua mgongo hadi kifo bali umakamu wa rais unao na ndiyo mkapa aliompa!
 
Kaka umeambiwa pamoja na kuwa mbunge pia alipewa unaibu waziri ,nahisi pia jana haukumsikiliza alichokisema
 
Nibu waziri akimaliza muda wake anaendelea kulipwa 80% mpaka kufa? Ndio katiba inavyosema? Nazungumzia kazi iliyompa maisha , Mawaziri wengi wa awamu ya pili na ya tatu wapo waliochoka tia maji tia maji kwahiyo uwaziri sio issue maana kikatiba hauna fungu la mpaka kifo.
 
Fuatilia historia yake uone,hawataki mtu ambaye aliyezaliwa na kukulia zanzibar 100% ,Dr Shein alitolewa mfukoni mwa Mkapa!! Awali alikuwa hajawai kufanya/kujishughulisha na siasa!!
Hapa umesema kabla ya Mkapa kumteua alikuwa hajawahi kujishughulisha na siasa.
Ndio maana nakuuliza ubunge na uwaziri sio siasa?
 
Maalim atavuna kura nyingi za wana-ccm. Sioni kama kwa timu ya act mwaka huu watathubutu kumpora ushindi, labda aamue mwenyewe kuuza ushindi.

Safi kaka. Maalim seifa mara nyingoi huwa legelege huuwaachia CCM kuiba kura wanavyotaka baada ya yeye kuibiwa utamsikia tulieni, tulieni tulieni. . Nashauri mara hii baada ya kura na tukishinda basi maalim seif afungwe mdomo kama vile anavyofungwa mamba ili aturuhusu vijana tudai haki yetu kwa gharama yoote.
 
Back
Top Bottom