Mkutano wa FOCAC(China Afrika Cooperative Forum) kufanyika, China itatangaza misaada mipya kwa Afrik | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa FOCAC(China Afrika Cooperative Forum) kufanyika, China itatangaza misaada mipya kwa Afrik

Discussion in 'International Forum' started by khamisi, Jul 16, 2012.

 1. k

  khamisi New Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkutano wa 5 wa mawaziri wa baraza la ushirikiano wa China na Afrika utafanyika Beijing alhamisi na ijumaa, ambapo rais wa China atatangaza hatua mpya za misaada kwa nchi za Afrika.
  hapo awali makamu wa rais wa China Bw. Xi amesema ni lazima kuwawezesha wananchi wa kawaida wa China na Afrika wanufaike na uhusiano huo.
   
 2. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Source mkuu! Tusaidie tafadhali!
   
Loading...