Elections 2010 Mkutano wa dr w slaa arusha

Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.

Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.

Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.

Hata kama hakuna magari, watu watatumia yao, au wataende kwa miguu.

The possibility of free generation from corruption and poverty is possible. It begins with you. Vote for Dr. Slaa to be our President in 31
 
Attachments

  • arusha4.jpg
    arusha4.jpg
    51.1 KB · Views: 207
  • arusha3.jpg
    arusha3.jpg
    75.1 KB · Views: 206
  • arusha2.jpg
    arusha2.jpg
    73.8 KB · Views: 204
  • arusha1.jpg
    arusha1.jpg
    81.5 KB · Views: 198
  • mbungewaarusha.jpg
    mbungewaarusha.jpg
    39.9 KB · Views: 193
  • IMG_0826.JPG
    IMG_0826.JPG
    795.7 KB · Views: 224
akutumia muda pia kumjibu sita kuwa hawezi kufanya mdahalo na yeye (dr slaa) maana siyo size yake...akafanye mdahalo na wagombea ubunge wa chadema....ila akataka ajibu maswali haya kwanza: alitumia mil 150 ya serikali kununua furniture za ofisi ya bunge huko kwao na akahoji ni kigezo gani alikitumia kuamru ijengwe ofisi za mbunge huko kwao nilini ulisikia kuna kikao cha bunge huko tabora

Labda anafikria kuwa atakuwa spika wa kudumu
 
akutumia muda pia kumjibu sita kuwa hawezi kufanya mdahalo na yeye (dr slaa) maana siyo size yake...akafanye mdahalo na wagombea ubunge wa chadema....ila akataka ajibu maswali haya kwanza: alitumia mil 150 ya serikali kununua furniture za ofisi ya bunge huko kwao na akahoji ni kigezo gani alikitumia kuamru ijengwe ofisi za mbunge huko kwao nilini ulisikia kuna kikao cha bunge huko tabora

Kukusahihisha hapo kwenye red. Ni ofisi ya Bunge siyo ya "mbunge."
 
Ndugu wapenzi, Vipi yaliyojiri katika mkutani huo? tafadhali tuna kiu ya updates -- hasa alichokisema Dr Slaa katika mkutano. Mbona tunayimana habari kiasi hicho?
 
Kwa hiyo nyomi ya Arusha nakubali UHURU wa Tanzania utapatikana.
hizo nilizo post hapo juu ni cha mtoto kwani huko kimandolu ilikuwa balaa watu walikuwa wengi mno...gonga hapo chini
 
Attachments

  • IMG_0869.JPG
    IMG_0869.JPG
    805.5 KB · Views: 77
  • IMG_0879.JPG
    IMG_0879.JPG
    695.1 KB · Views: 75
  • IMG_0882.JPG
    IMG_0882.JPG
    475.8 KB · Views: 66
Ndugu wapenzi, Vipi yaliyojiri katika mkutani huo? tafadhali tuna kiu ya updates -- hasa alichokisema Dr Slaa katika mkutano. Mbona tunayimana habari kiasi hicho?
Amesema akiwa rais atahakikisha bei ya bati na cementi inachuka mpaka chini ya 5000 iliwatu waweze kujenga nyumba za kudumu, serikali yake haitakuwa na anasa kama ya ccm, na wafujaji wa mali za serikali hatacheka nao ni kuwakamata na kuwapeleka mahamani....
 
ndugu Ngongo hali ya ccm ni mbaya sana hivyo wanatumia njia yoyote kuvuruga mikutano lakini kwa umati niliouona CCM inangoka...siyo tamasha hilo tu hata pale Shikh Amria beid napo kuna tamasha sijaua ni la nini...
Kijenge ni balaa tupu Slaa kaingia na ice kasema anatoa mfano jinsi gani hata tumia migari ya kifahari kwenye serikali yake. Watu wengi mno . Anatisha na watu kweli wamechoka na ccm.
 
Kijenge ni balaa tupu Slaa kaingia na ice kasema anatoa mfano jinsi gani hata tumia migari ya kifahari kwenye serikali yake. Watu wengi mno . Anatisha na watu kweli wamechoka na ccm.
Na wakati tunatoka kwenye mkutano kila sehemu tulikuwa tunashangiliwa huku watu wakiimba "CCM tumeichoka" mpaka kwenye hotel aliyofikia Rais...Kweli watu wa arusha wameonyesha wamko wa hali ya juu na wameichoka...
 
Rais wangu Dr wa ukweli anatisha. Hata udokta alipata kwa uhalali (alikaa darasani). Tumpe kula jamani
 
Napendekeza hizi picha mwenye nazo amtumie Michuzi tuone janja yake ya kubania picha na habari za upinzani
 
Na mgombea ubunge Bwana God Bless Lema alitumia siku ya leo kukanusha kuhusu tuhuma za siku nyingi anazo zushiwa na ccm kuwa walimhonga ili afute kesi kwa malipo ya tzs 30,000,000 kitu ambacho amekikanusha akisema si kweli nay eye anaijua pesa hawezi kupewa mil 30 ambayo ni sawa na msharaha wa miezi mitatu hata hivyo alidai hagombei kwasababu ya pesa…pili aliwaomba msamaha wakazi wa arusha kwa kumkapenia mgombea wa chama kingine kwani ilikuwa ni uzalendo ambao umefanywa na watu watatu tu Duniani yaani Mwl JK Nyerere, Obama na God bless Lema akatoa sababu kuwa ni kwamba mgombea wa chama chake hakuwa na uelewa/uwezo kabisa kusoma hata cheti cha la nne hakuwa nacho. Pia bwana lema aliwatolea uvivu Polisi kuwaonya wasisubutu kuiba kura au kuwa saidia CCM kuiba kura kwani wakijaribu kufanya hivyo Peoples Power itaonekana na akawaomba wakazi wa arusha kama yeye (Lema) atakuwa na kura 95% itakuwa vigumu kwa ccm kuiba kura…
 
Rais wangu Dr wa ukweli anatisha. Hata udokta alipata kwa uhalali (alikaa darasani). Tumpe kula jamani
Hapa Arusha wameonyesha kumkubali kwa sana naamini tarehe 31-10-2010 watampigia ili nchi hii akomboe...
 
Back
Top Bottom