Elections 2010 MKUTANO WA DR SLAA LINDI; nahitaji kufahamu kuhusu mapokezi yake

Singo

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,184
1,105
ndugu zangu wanajamii forum , kwa bahati mbaya sijaweza angalia taarifa ya habari ya TV na kujionea ni jinsi gani Dr Slaa amepokelewa Lindi. Naombeni tathmini yenu juu ya kukubalika kwake huko pia.
 
PIGIA MSTARI MZITO WA KUKOREZA MTU WANGU...TUNAMALIZA KIFO CHA MENDE CCM....au KIFO CHA KOBE KABISA
 
Back
Top Bottom