Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Nipo hapa Kigoma, naona gari la matangazo la CCM linapita linahamasisha maandamano ya kumpinga katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa asikanyage Kigoma mjini.
Tangazo liko hivi, nanukuu;
"Tangazo Tangazo Tangazo!! Kesho kutakuwa na maandamano makubwa yatakayofanyika hapa mjini Kigoma, Maandamano ya kumpinga Dr. Slaa asikanyage Kigoma mjini!! Wananchi wote mnaombwa kuhudhuria ya kumpinga Dr. Slaa, maandamano yataanza kesho kuanzia saa mbili na nusu, kwani kitendo cha kufanya hivyo itakuwa ni kumuunga mkono kijana wetu Zitto Kabwe!! Tuhakikishe kila mtu anahudhuria maandamano ya kesho. Dr. Slaa ameshakataliwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, hivyo tuungane nao mkumpinga Dr. Slaa." Mwisho wa kunukuu
Hili gari la matangazo linatumiwa na viongozi wa ccm wilaya ya Kigoma.
Napita kwenye kijiwe kimoja maarufu hapa mjini nitawajulisha.