Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma: Gari la CCM linapita usiku huu inatangaza maandamano

Status
Not open for further replies.

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Nipo hapa Kigoma, naona gari la matangazo la CCM linapita linahamasisha maandamano ya kumpinga katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa asikanyage Kigoma mjini.

Tangazo liko hivi, nanukuu;
"Tangazo Tangazo Tangazo!! Kesho kutakuwa na maandamano makubwa yatakayofanyika hapa mjini Kigoma, Maandamano ya kumpinga Dr. Slaa asikanyage Kigoma mjini!! Wananchi wote mnaombwa kuhudhuria ya kumpinga Dr. Slaa, maandamano yataanza kesho kuanzia saa mbili na nusu, kwani kitendo cha kufanya hivyo itakuwa ni kumuunga mkono kijana wetu Zitto Kabwe!! Tuhakikishe kila mtu anahudhuria maandamano ya kesho. Dr. Slaa ameshakataliwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, hivyo tuungane nao mkumpinga Dr. Slaa." Mwisho wa kunukuu
Hili gari la matangazo linatumiwa na viongozi wa ccm wilaya ya Kigoma.

Napita kwenye kijiwe kimoja maarufu hapa mjini nitawajulisha.
 
hawawezi kuyazuia mabadiriko na zitto keshaumbuka, watu wa kigoma wanajua ukweli wa mambo sio mambumbumbu na zitto wameshamjua vizuri
 
Nipo hapa kwenye kijiwe moja maarufu hapa ujiji panajulikana Buzebazeba, jamaa moja anaitwa Hussein anawagawia madereva bodaboda elfu tano tano ili nao washiriki maandamano ya kesho
 
Wana Kigoma tunamisimamo makini na tunaamini katika demokrasia ya kweli, kugeuza CDM kuwa Saccos ya ukoo na kuziba midomo wapigania demokrasia ya kweli kwa kuwaita wasaliti haikubaliki kamwe; Babu Slaa chama mumekiua ww na Mbowe midyenke!
 
Hivi ajira yenu ni majungu na uchonganishi tu humu jf? Hivi nyie cdm mnalaana gani
Nipo hapa Kigoma, naona gari la matangazo la ccm linapita linahamasisha maandamano ya watu kutohudhuria mkutano wa Dr. Slaa utakaofanyika kesho Kigoma.

Tangazo liko hivi, nanukuu;
"Tangazo Tangazo Tangazo!! Kesho kutakuwa na maandamano makubwa yatakayofanyika hapa mjini Kigoma, Maandamano ya kupinga mkutano wa Dr. Slaa!! Wananchi wote mnaombwa kutohudhuria mkutano wa Slaa, kwani kitendo cha kufanya hivyo itakuwa ni kumsaliti kijana wetu Zitto Kabwe!! Tuhakikishe hakuna mtu atakayehudhuria mkutano wa kesho. Dr. Slaa ameshakataliwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, hivyo tuungane nao mkumpinga Dr. Slaa." Mwisho wa kunukuu
Hili gari la matangazo linatumiwa na viongozi wa ccm wilaya ya Kigoma.

Napita kwenye kijiwe kimoja maarufu hapa mjini nitawajulisha.
 
We ni muongo dr slaa kesho hatakuwa kigoma ratiba ya kesho atafanya ,mkutano kijiji cha kitanga, marumba na bugaga vijiji vyote hiv vipo wilaya ya kasulu ambayo ipo umbali wa km 150 toka kigoma manispa. manispaa ataingia siku ya jumatano sasa wewe hilo gari sijui linawatangazia wananchi wa kigoma ipi?
 
Bangi mbaya! Ukichanganya ni viroba ndio unalipuka kabisaaa!
 
We ni muongo dr slaa kesho hatakuwa kigoma ratiba ya kesho atafanya ,mkutano kijiji cha kitanga, marumba na bugaga vijiji vyote hiv vipo wilaya ya kasulu ambayo ipo umbali wa km 150 toka kigoma manispa. manispaa ataingia siku ya jumatano sasa wewe hilo gari sijui linawatangazia wananchi wa kigoma ipi?

Wewe people bana sasa naweza kwenda bar.
 
Wana Kigoma tunamisimamo makini na tunaamini katika demokrasia ya kweli, kugeuza CDM kuwa Saccos ya ukoo na kuziba midomo wapigania demokrasia ya kweli kwa kuwaita wasaliti haikubaliki kamwe; Babu Slaa chama mumekiua ww na Mbowe midyenke!

Demokrasia ya kweli kwako ni ya ccm kumtetea Zitto abaki ndani ya chadema? Nyie watu wa ajabu sana
 
Amini usiamini, hujuma zinazofanywa kigoma dhidi ya chadema, nyuma yake kuna wanaccm na ccm kwa 99%. Wanakigoma kama wataungana na hawa wapuuzi wachache, watakuwa wamelisaliti taifa letu kuelekea kwenye mabadiliko ya kweli. Kigoma siyo ya zitto tu, bali ya watu wote walio huru! Tunaomba wanakigoma wote wanaolipenda taifa letu na chama cha demokrasia na maendeleo kuwapuuza hawa wahuni wachache!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom