Mkutano wa Dr. Slaa Kigoma: Gari la CCM linapita usiku huu inatangaza maandamano

Status
Not open for further replies.
Hivi ajira yenu ni majungu na uchonganishi tu humu jf? Hivi nyie cdm mnalaana gani

Wazuie kwanza Magamba wenzio wasiingilie mambo ya CDM. Na hii inajidhihirisha wazi kwamba Panfdkizi alikuwa Pandikizi. Hivi nao polissm, wanawaangalia tu watu wanaotangaza maandamano, huku wakijua fika kwamba hayana kibali! Kweli kubutuana wenyewe kwa wenyewe hakuko mbali. Wasifikiri kila mtu ni mjinga.
 
tehe! kwa kweli nawashukuru CC ya CHADEMA kwa kukarantini hichi kirusi ZZK kwani inavoonekana ndo muasisi wa hoja mufilisi ya 'chadema kuna ukabila'. Zitto has to work on this or he's FINISHED OFF. he will pay the price of whatever NONSENSE he is masterminding against CDM.
 
CHADEMA inapita kwenye kipindi kigumu sana hivi sasa.Ikishinda kipindi hiki njia ya Ikulu itakuwa nyeupee.
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu, mnafikiri kubadili id ndio kutokujulikana, ukitakikana kwenda kujieleza ni nusu saa tu. Hapo sasa.
 
Mbaazi zisipozaa husingizia jua.

Hii janja mie nshaijua...kila kitakachofanyika huko Kigoma watasingizia CCM kama ngao ya kuificha aibu.

Ni suala la uelewa tu,haiwezekani Dr Slaa akawa na uchungu na Kigoma kuliko Zitto,so ata mie ningekuwa Mkigoma huko Kigoma nisingeutosa mbachao( Zitto) kwa msala upitao(Dr Slaa).
 
Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu, mnafikiri kubadili id ndio kutokujulikana, ukitakikana kwenda kujieleza ni nusu saa tu. Hapo sasa.

Haya nenda ukakojoe ulale

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mnasema chadema ni maarufu kuliko zitto ila ukweli ni kwmba ziito ni moto

Zitto kama mnampenda mkamchukue awe mwenyekiti wenu. Chadema ni zaidi ya jina la mtu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hivi ajira yenu ni majungu na uchonganishi tu humu jf? Hivi nyie cdm mnalaana gani

Hawa vijana wanalipwa siku hizi kwa kufanya propaganda za mtandaoni, ndipo tulipofikia hapa...njia ileile waliyopitia CCM ndipo Chadema wanapokuja,bahati mbaya wameanza mapema sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom