mkutano wa dr slaa kasulu mjini

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
tayari tunamsubili dr slaa kuhutubia mkutano wa adhala hapa uwanja wa shule ya msingi kiganamo. Kuna watu wa kutosha wanamsubili. Ameenda kijijini asubuhi kufanya mkutano. Licha ya mvua kubwa iliyonyesha na top hapa kuwa la kutisha. Watu wapo wengi wanamsubili
 
dr slaa tayari ameingia hapa mkutanoni.ameanza mwita mwikakabe kutahadharisha kuhusu usalama. Kataja ujumbe aliopata wa vijana toka mwanza wamekuja kufanya vurugu. Kasema wanachukua taadhari ya wanaotaka kufanya vurugu.
 
mratibu wa kanda kawauliza wananchi wanajivunia nini,wakasema zitto. Watu wako kimya wanasikiliza kwa makini
 
watu wamenyanyua mabango na dr slaa anayasoma. Kuna vijana wanaanzisha fujo. Wamefanya fujo alakini wengi ni vijana wa ccm
 
wengi ni vijana wa ccm

CCM ndio chama cha waha, wanyamwezi, wagogo, wandengereko, wamatumbi, wachaga, wahadzabe, watindiga, wapare, wasukuma na kila kabila hapa nchini. Vijana wa CDM wapo Moshi na Arusha tu, wengine wote ni vijana wa CCM.
 
mkutano umesimama. Vijana wa ccm wamefanya vurugu. Polisi nao wanaangalia show. Ni aibu kwa vyombo vya usalama.dco, ocd na mapolisi naona wamefika na wamewatoa vijana hawa.
 
dr slaa kachange style ya mkutano sasa anataka watu waulize maswali.anaulizwa uchaguzi ni lini na mbona uchaguzi utafanyika january. Dr anajibu.mabomu ya machozi yanalipuwa na wale wahuni wanatelemka kwenye jukwaa.
 
Hicho ndicho waandaji wa hizo fujo walichokitaka, waweke vijana wafanye fujo, mabomu ya machozi yapigwe watu wasambaratike na huo ndio mwisho wa mkutano.

Hongera CCM, lakini hiyo haiwezi kuzuia mabadiliko, uwike usiwike, kutakucha tu.

Tiba
 
tayari tunamsubili dr slaa kuhutubia mkutano wa adhala hapa uwanja wa shule ya msingi kiganamo. Kuna watu wa kutosha wanamsubili. Ameenda kijijini asubuhi kufanya mkutano. Licha ya mvua kubwa iliyonyesha na top hapa kuwa la kutisha. Watu wapo wengi wanamsubili

Hivi huyo Dr Slaa si padri? Leo si Jumapili lakini?mbona hajaenda kuendesha misa anakalia kung'ang'ania mikutano tu? Akasalishe kwanza ndo aje kwa mkutano. CDM wanasema wanaanza na Mungu na wanamaliza na Mungu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
CCM ndio chama cha waha, wanyamwezi, wagogo, wandengereko, wamatumbi, wachaga, wahadzabe, watindiga, wapare, wasukuma n,a kila kabila hapa nchini. Vijana wa CDM wapo Moshi na Arusha tu, wengine wote ni vijana wa CCM.

Una akili finyu kama ------ ya bata
 
Back
Top Bottom