Mkutano wa CHADEMA wazuiliwa Kahama, Mabomu yarindima kutawanya wafuasi

Mimi huwa ninaamini anayetumia nguvu katika vita yoyote ile badala ya akili...huwa anachoka mapema na anachoka kweli kweli.....
 
Dhana ya "wachache wasikilizwe, wengi wape " inazidi kupigwa teke
 
Mkuu,wanaweza hata kuhutubia wakiwa peke yao..na wakatupa live
Haitamake sense mkuu, crowd ni hamasa ,siasa ni mikutano, kwenye tv kuna vitu wanalimit na wahariri huwa wana edit kuogopa SIRIKALI,..kitu ambacho hakitamobilise raia katika kujitambua
 
Amboni awakufanya hivi ila kwenye mikutano ya wapinzani ndio mbwembwe kibao! naona serikali inamwogopa lowassa kupita maelezo
 
Haitamake sense mkuu, crowd ni hamasa ,siasa ni mikutano, kwenye tv kuna vitu wanalimit na wahariri huwa wana edit kuogopa SIRIKALI,..kitu ambacho hakitamobilise raia katika kujitambua
Una maana hadi leo raia wa Tanzania bado hawajajitambua hadi makengeza akawahutubie!? Aaaa Kamanda maskhara hayo. Acheni kutafuta kiki nendeni bungeni mkafanye siasa za ustaarabu.
 
Acha upunguani wew kuna mda maalumu wa kufanya siasa? siasa ni maisha yako yote ,umezaliwa umeikuta ,umevunja ungo bado ipo, umewekwa ndani bado ,unataka nini wewe?
Hatujakuta siasa za kijinga namna hii, mpaka mbunge anaonyesha alama ya Ishara ya tusi kwa kidole! Huo ujinga huo.
 
Kahama ni kmji kadogo lakini ni tishio kwa siasa dhidi ya chama cha rangi ya bangi
Kama wale waliosambaratishwa leo na mirasta michafuuuu! Yaani, usoni wanaonyesha wamekolea bangi na viroba kinoma! Hao ndio wapiga kura wa chadema!
 
Wana JF,

Yaani hawa mapolisi wetu vihiyo wameshindwa na majambazi huko Mpangoni Mwanza na Tanga wanakimbilia kupiga mabomu Wananchi kwelii???
Kama kweli hizi habari ni za kweli basi Magu a.k.a JPM hana tofauti na KURUNZINZA WA BURUNDI!
Watu tulisema sana mwaka jana wakti wa kampeni kuwa John Pombe Magufuli was just another Dictator in a making.
Sasa matokeo yake ndiyo haya. Hata hivo hapana marefu yasiyo na ncha there is a day he must go whatever may. Mungu si Athumani wala Abdulla.

Mungu ibariki Kahama, Mungu ibariki Tanzania na Afrika yetu.
Hata wewe one day you must go.
 
Haitamake sense mkuu, crowd ni hamasa ,siasa ni mikutano, kwenye tv kuna vitu wanalimit na wahariri huwa wana edit kuogopa SIRIKALI,..kitu ambacho hakitamobilise raia katika kujitambua
Mkuu,hata kurusha moja kwa moja wata edit vipi??hiyo ndio alternative..ni vyema tu ukaelewa kuwa haupo mkutano wowote utakao ruhusiwa iwe kesho au kesho-kutwa..
 
Wananchi walihudhuria mapema hapo ilikuwa saa saba mchana
53c7d89bc0c12f2c4ed8e60d3f3bb7f6.jpg
Wananchi au wahuni tu hao.
 
Back
Top Bottom